simu

  1. E

    JamiiForums Tanzania ‘Sim card’ hazisomi kwenye simu mpya

    Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite) Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
  2. JamiiForums Tanzania Haya njooni mnipe hizo program za kuflashia simu

    wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu NAWASILISHA
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wale wataalamu wa simu

    Kati ya hizi simu ipi itafaa Nokia G20_128gb 6 ram Vivo v20_ 128 GB 6 ram Redmi pocco X3 _128GB 6 ram Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri wataalamu. Chief-Mkwawa
  4. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Sijawahi kupigiwa simu na mwanamke wangu zaidi ya kutumiwa txt tuu

    Ndugu wana jf poleni na majukumu Kwà kweli simuelewi mpenzi wàngu kabisa. Tokea niwe nae hajawahi kunipigia simu zaidi tuu yà kunitumia meseji basi japo mimi na mpigia simu na kumuungia vifurushi vyenye txt na dk ila hanipigii simu Ndugu sielewi huyu mwanamke shida ni nini ila kwenye txt yupo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ambavyo imechangia kubadili mfumo wa maisha

    Leo napenda kuzungumzia Simu yangu kwa namna ambavyo imechangia kubadili mfumo wa maisha yangu katika mitazamo, kielimu, kijamii, kisiasa, kitamaduni burudani hata kidini. Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2007 ndipo smartphone au simu janja zilipanza kuja kwa kasi katika nchi zetu, Watu wengine...
  7. JamiiForums Tanzania CRDB Customer Service: Unapiga Simu Unawekewa wimbo wa Swaiba Langu ni Lako

    Haya mambo unaweza ukalia. Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa. Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa. Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana...
  8. JamiiForums Tanzania Mauzo ya simu za iphone yashuka duniani

    Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024. Hayo yamebainishwa na utafiti uliofanywa na kampuni hiyo ya mawasiliano, ambao umebaini mahitaji ya wanunuaji yameshuka katika sehemu zote duniani...
  9. JamiiForums Tanzania Vituo vya mafuta vina mabango ya "zima simu yako" lakini pembeni kuna linalosema unaweza kulipa kwa Tigopesa, Mpesa n.k

    Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika Unaambiwa zima simu yako tafadhali Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa. Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
  10. JamiiForums Tanzania Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba namba za simu mwanaume part 2

    Refer to my previous thread. Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Maji, Jumaa Aweso fika wilaya ya Chunya, kata ya Makongorosi, kijiji cha Itumbi, wananchi wanakunywa maji yenye sumu ya Mercury

    Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,. Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo. Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo. Watu wanajisaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Hii mikopo ya simu bora kausha damu, Serikali iiangalie aisee

    Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani. Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  14. JamiiForums Tanzania Blackberry na Nokia zilipendwa sana miaka ya nyuma, ila walikuja kuanguka vibaya sana

    Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka. Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Simu za maduka ya tigo na utapeli wa ofa za mb

    Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Esther Malleko Atoa Simu Janja 7 (Milioni 2.1) kwa UWT Wilaya Zote za Mkoa wa Kilimanjaro

    Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu | Samsung note 9 Gb 128 Pamoja na charge yake

    Only For Tsh.360,000 Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no. Double line☑️ Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533 Simu ipo Tabata Mwananchi
  18. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya iPhone 6 s

    Nauza simu jamani wana jamiiform IPHONE 6s lak 180000 had 165000 haina shida yoyote pasipo kua utapata usb ios apple :gb 128,gold km ndo hivo unavyo ona hapo chini👇👇👇👇👇👇 Contact:0782821751 Nipo dar/magomeni/kw binyau
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you. Nimevunga kama vile am not...
  20. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti. Kisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…