simu

  1. JamiiForums Tanzania Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania

    Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnamuelewaje mwanamke anayekwambia simu yake imetumbukia chooni

    Kuna mwamba juzi kadai wanawake wa siku hizi hard ware safi ila software zero ni kweli. Mtu hajapatikana hewani siku kadhaa ukimuuliza eti simu ilitumbukia chooni Nguo nyingi za wanawake hazina mifuko je simu inatumbukiaje chooni? Je kwa nini uende na simu chooni?au huwa mnachat mkiw chooni...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna chuo fulani hapa Dar es Salaam kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara

    Kuna chuo fulani hapa dar kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara ya chuo hicho namimi sifanyi kazi wala sijawahi kusoma kwenye chuo hicho! Sasa kifupi imekuwa ni kero mno kwangu kupokea simu za wateja wao wanaotaka kujiunga na chuo chao Kisheria imekaaje hii...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada Wa Jinsi Ya Kuwasha Data kwenye simu ya Sony SOV39

    Msaada tutani wakuu nimsaidie jamaa yangu Sehemu ya data ipo on lakini kwenye screen haionekani kuwa on, hata ukiingia mtandaoni hapafunguki
  5. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nahitaji simu second hand, Vivo, Oppo au Sony.

    Wakuu, hoping mko salama. Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi. Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu. Specs 1. Resolution iwe na 1080x2400 au zaidi 2. RAM 6 au above storage 128. 3. Battery 4000 au above 4. Dual simu (ikiwa na esim)...
  6. JamiiForums Tanzania HIVI WALE WEZI WA SIMU NA MICHEZO YA KARATA PALE RIVERSIDE TO UBUNGO WAMEENDA WAPI??

    DAHA ILE SEHEMU ILIKUWA KAMA GAZAA YAAN USITEMBEE RIVERSIDE KUIONQA UBUNGO WANAUME HAOOO WAMEKUPITIA NA SIMU WAKIKUKOSA SIMAMA KWENYE KARATA USHANGAE MIUJIZA WANAKUPITIA DAH..YAAN ILE SEHEMU NILIHESHIMU JAMAA MMOJA ALIIBIWA JAMAA AKAENDA PALE KWA .......KURIPOTI AKAITWA JAMAA MMOJA AKAHOJIWA...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya kimya kimya ya kununua umeme (LUKU) kupitia mitandao ya simu

    Uzi uwe mfipi kabisa. Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu kimya kimya. Umeme wa elfu3 unakatwa TSH 90, Umeme wa elf 5 unakatwa TSH 100. Umeme wa elf 1 unakatwa...
  8. JamiiForums Tanzania Lazima una mtu fulani ambaye huwa unampigia simu bila sababu ya msingi

    Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utakuwa unakatiwa simu mara nyingi, usipozingatia haya unapopiga simu kwa wateja (kwenye sales)

    Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio? How many calls you make per day, give you reflections to your sales volume. Kama hujui haya mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Huwa unakagua Simu ya Mpenzi wako? Nini kinakusukuma kufanya hivyo?

    Hata ya Lamomy hushiki?
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini Simu nyingi za Samsung Hawana inbuilt Call recorder na VoLTE?/5G?

    Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications? Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download. Nani Samsung yake ina support hii kitu? Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Usiingie mkenge wa router za 5G za mitandao ya simu

    Mimi ni mtumiaji wa 5G router zote Airtel,voda na Tigo. Ukweli katika hizi router 3 mitandao ya ukweli ambayo naweza mshauri mtu atumie ni miwili tu. Airtel na Vodacom. Tigo ni wezi sio unlimited wanakupa unlimited kwa speed uliyolipia kisha wakiona unakamua kweli kweli bando kwa limit...
  14. JamiiForums Tanzania Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

    Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Ukienda Polisi kuwataka watrack Simu iliyobiwa, bila Pesa hufanikiwi

    Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi...
  16. JamiiForums Tanzania Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

    Habari, Nahitaji ushauri wa simu ya bajeti ya laki 4. Nahitaji kununua simu mbili zawadi kwa watu wawili muhimu, bajeti kila moja isizidi laki nne. Thanks in advance
  17. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuunganisha Simu na TV ambayo haina Casting?

    Wakuu, nina TV yangu nch 32 ya kampuni ya Mysol ambayo ina uwezo wa kupokea camcard ya king'amuzi chochote bila shida. Sasa changamoto ninayoipata ni kutokuwa na casting option ili niweze kuunganisha na simu yangu moja kwa moja, maana Nina link zinazo niwezesha kustream mechi za ligi mbalimbali...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  20. JamiiForums Tanzania Ni simu gani hutakaa utumie?

    Ni simu aina huta diriki kununua tena au hata ukipewa bure hutaki kabisa kuisikia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…