Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
twajibiii
mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana
anaongea na nani?
wanaongea nini?
inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje?
na asipo jibu sms ndio kuzidi
nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa.
Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala.
Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
Habari, Wakuu humu jamii forum
Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used.
Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo
TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
Toka hii dunia naifahamu nimeweza kujionea watu wanaoongea na simu mara nyingi sana, kwanza ni Hawa watu wa call centre /phone operators wa makampuni makubwa kama TANESCO na mitandao ya Simu, Hawa masaa ishirini na nne ni simu tu , hakuna kingine shift Kwa shift ni simu tu.
Ukiachilia watu hao...
MY STORY; Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote, badala yake nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi.
Siku tatu baada ya ndoa mke wangu kuniambia kuwa anataka kwenda kwao kumsalimia mama yake kwani anaumwa, nilimpigia simu mama yake na akaniambia kuwa hali yake si nzuri. Nilimruhusu...
Shikamoo fundi.
Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji.
Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware.
Na sio kutoa password wala ku Format.
Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160.
Nimejaribu sana...
Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
WATEJA WANGU WANGUVU NIMEWALETA SIMU ZA NOKIA 106 FULL BOX BEI YA JUMLA TSH 19500 REJAREJA 23000 NIPO KARIAKOO UHURU PLAZA MIKOANI UNATUMIWA KWA UAMINIFU MKUBWA
NIPIGIE 0713861567 / 0760081567
Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu
Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake
Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
Hii ni simu yangu ya samsung, nimeifanyia customization kali sana kuanzia wallpaper, icon, renaming nk
Ukicheki hapo juu ni scree ya simu yangu ilivyo...prety cool isn't it guys?
Hap chini sasa ndio app zinavyo kuwa
Una rename app na icon yake
Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
📞SIMU KWA SIR GOD
📞Sir God..si ni wewe ndo unasema umeumba ulimwengu KWA siku 7
📞 Sir God..si ni wewe ulieumba makabila mengi duniani lakini ukachagua ISLAEL kua kabila lako pendwa na ukalitumia kuwapa ujumbe wako
📞 Sir God..si ni wewe ukiachana na waislael na ukaamia KWA waarabu na kumtumia...
Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao.
Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja.
Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
Anonymous
Thread
biashara
faragha
makampuni
matangazo
mikopo
namba
simu
wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.