simu

  1. jangos

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukaibiwa simu??

    Habari zenu, Nimeanzisha huu uzi ili kupata experience ya kutunza simu zetu zisiibiwe, kama umewahi kuibiwa unaweza kutuambia ilikuwaje!
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

    Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
  4. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Wakala kuomba simu yako kuhakiki

    Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi kilichobaki kwenye account ya mteja. 1: mteja alietoa hela na kubakiza kiasi kikubwa sana kwenye...
  5. Girland

    JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  6. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Wenye mazoea ya kutopokea simu mnakera, si uungwana, mbadilike!

    Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea. Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

    Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
  8. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

    Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Acheni kukejeli simu za watu!

    Samsung ni simu, na Infinix ni simu! Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure. Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji! Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na ITEL waache hiyo tabia mara moja. Hawajui jinsi wahusika walivyohenyeka kuzipata.
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unatumia simu gani?

    Unatumia simu gani, na umenunua Shilingi ngapi? Fanya ku-screenshot picha ili uzi unoge zaidi. Mimi Mjanja M1 natumia iPhone 15 Pro nimenunua 4 Million.
  13. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  15. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania KUNA DEMU KALA VITU VYANGU HAJIBU SMS WALA KUPOKEA SIMU

    Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
  16. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Mnavimba sana humu mitandaoni ila wazazi wenu wanatumia simu za ajabu sana

    •itel kiswaswadu •Tecno kiswaswadu •bontel kiswaswadu •O king kiswaswadu Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
  17. allyramadhani67

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used

    Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara. Sijajua wafanya biashara wa Kariakoo wanazitoa wapi na ukijaribu kumuuliza mfanya biashara yeyote Kariakoo...
  18. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

    Hi Guys My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana? Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo...
  19. ashomile

    JamiiForums Tanzania Naombeni mwongozo wa kupata simu kali iliyotengenezwa kati ya 2023/24

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL.. Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi 500k pia processor isiwe ya SPD au MTK, hii sizihitaji katika list yangu.
  20. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Elimu ya utengenezaji wa application za simu za android part 2

    Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic . Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa kuunda na kuboresha programu za simu za android. Application za simu za android zinaweza kuundwa na...
Back
Top Bottom