Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma.
Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
adobe
bomu
bure
duka
gani
google
google pixel
hata
iphone
kiwango
kufungua
kutengeneza
makampuni
makampuni ya simu
mbadala
mmoja
mtu
mtu mmoja
n.k
nuclear
photoshop
pixel
premiere
pro
simu
software
wameshindwa
Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa...
Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/
Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chinโono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
chivayo
kupiga
mkubwa
msibani
picha
rais
rais samia
raisi
raisi samia
safari
samia
samia msibani kwa chivayo
samia suluhu
simu
siri
usiri
wicknell chivayo
zimbabwe
Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu.
Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
Ndugu zangu Watanzania,
๐๐๐
Hayo Ni Maneno yametamkwa Na Mtumishi Wa Mungu Nabii na Mtume Boniface Mwamposa akisema Eti Mfanyabiashara Na Tajiri kutoka Nchini Zimbabwe CHIVAYO Eti alimpigia Simu wiki ile aliyefariki.
Eti alimpigia ili aje kwenye Mkesha wake . Lakini Eti Mwamposa alikataa kwa...
Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa?
Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a inawasha sana picha ila sikuwa naridhika na quality za hizo picha, nilitaka wateja wangu wapate kitu...
Wakuu Habarini za Siku ya Leo? Natumaini mu wazima wa Afya. Na wale wagonjwa nawaombea uponaji wa mapema ili waendelee na majukumu yao ya kila siku.
Niende kwenye hoja.
Mimi sikuwa mdau wa kukopa kopa simu ila, baada ya kuwa na kazi kadhaa zinazotumia charge ya simu kwa kasi na kumaliza charge...
Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
Anonymous
Thread
buza
eneo
hii
jana
jiji
katika
kufanya
mama yangu
mke
mke wangu
mzazi
sheria
simu
taarifa
wangu
yangu
Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐ฅ
Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐ฎโ๐จ
๐ฑ Kwa nini MP02 ni ghali?
๐ค Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ takribani TSh milioni...
Fundi simu aliuza taarifa za ndungu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha.
Alipeleka simu kwa fundi, alipoanza kuirekebisha akapata dharura akamuaga kuwa atarejea baadae, ila akasema inabidi atoe nywila kwani atahitaji kuifanyia majaribio.
Mara baada ya kutoka huku...
Habari wanabodi.
Nina duka la nguo na nataka kuanza kuandaa content kwa ajili ya kumarket biashara yangu.
Kwa wenye uzoefu nisaidieni kujua ni simu gani kwa bajeti ya 2.5M itanipatia simu nzuri yenye kutoa video bora?
Je ninunue Samsung S26 Ultra mpya au Used iPhone 16/17 pro max au google pixel?
Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane.
Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha.
Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu.
Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu...
300,000 Tsh per day x 30 days = 9,000,000 per month.
9,000,000 x 18 months as of today.....162,000,000 Tsh. Na bado kesi kuisha na kwa malipo hayo, lazima wapokee maagizo.......................all untaxable
Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu kuhusu maji machafu yanayotolewa kwenye visima, hali iliyowafanya kunywa maji yasiyo safi.
Waziri...
Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita.
Mimi namuunga mkono na nitamchangia tsh 2,000,000 kwenye hiyo fine. Asiache kuyabagaza hayo machoko. Ni ya bananga tu wakati wote bila...
Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026.
Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamuโฆ lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! ๐
๐ 1. IMEI & LOCK
Hakikisha IMEI...
Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo.
Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili.
Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu ๐.
Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri ๐ฌ Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...