simu

  1. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

    Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki. Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa...
  2. itel Mobile Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Kampuni ya Simu za Mkononi ya 'itel Mobile'

    itel Mobile ilianzishwa mwaka 2007 jijini Hong Kong nchini China kwa kutambua kiu ya wateja ya kuunganishwa kimawasiliano Duniani. Kwa kutumia Falsafa yetu ya "Join · Enjoy", tunafurahi kumpa hamasa na nafasi sawa kila mtu kwa kutoa bidhaa bora kabisa na zinazokidhi haja ya mawasiliano duniani...
  3. uran

    JamiiForums Tanzania Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

    Wakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
  4. mobakha

    JamiiForums Tanzania Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

    Habari za leo ninatumai ni wazima wa afya na mnaendelea na jukumu la kujenga taifa letu. si mweledi sana wa kuandika ila leo nimekuja na hili lililonitokea. Kiufupi ni kwamba mke wangu ameibiwa simu yake ya android nyumbani kwake mchana kweupe sitoeleza stori yote ila baada ya tapeli...
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Tovuti nyingi za Serikali namba zake za simu huwa sio za hapo?

    Nimekuombana na tatizo hili mara kibao sana. Unakuwa na shida flan, unaenda kwenye website husika, unachukua namba ya simu na ukipiga unaambiwa ni namba ya mdada wa kazi sijui wapi huko. Mfano jana nilikuwa nataka namba ya office ya DPP nimeingia kwenye web yao Nimepata namba napiga kumbe ni...
  6. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya

    Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung mpya kwa Dodoma

    Habarini za muda huu, naomba kujuzwa ni duka gani Dodoma, morogoro au iringa na weza kupata simu za samsang s10+,S20 na S20+. Kwa moja ya mikoa twajwa ,shukran kwa details n PM.
  8. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

    Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia. Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu...
  9. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Simu yangu aina ya Tecno Pop1 imezima msaada wadau

    Simu yangu aina ya Tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je, inaweza kusolve tatizo?
  10. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu fanyeni kama TTCL zamani-yellow pages

    Amani iwe Kwenu Baada ya Usajili wa Line za Simu Kwa Alama za Vidole na Kitambulisho Cha Taifa,Nipende kushauri Mitandao Ya Simu, hasa Airtel ambayo Naitumia Sana, iweke namna ya Mtumiaji kujua namba ya Rafiki yake au Mtumiaji mwingine anayetaka kuwasiliana naye. Zamani TTCL walikuwa na...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tangu pesa kwa njia ya simu ianze kuna aliyepewa namba isiyo sahihi?

    Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukitoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara. Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba kichwani. Mambo yamebadilika unaweza kukosa Tigo pesa, sikuhizi unahakikisha amekupigia kabla hamjaachana.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyewahi kufanikiwa kupata simu yake iliyoibiwa kupitia Cyber Crime Unit?

    Wanajamvi, Nipo hapa kutaka kujua nakosea wapi. Mpaka sasa ndani ya miezi sita nimeibiwa /poteza simu tatu- smart phones. Simu ya kwanza nikairipoti polisi, Central Police, Dodoma kwa taratibu za kawaida za kipolisi pale Cyber Crime Unit lakini nikawa sina IMEI number hivyo nikaambiwa ndiyo...
  13. dontech

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hii simu

    Nahitahi hii simu Nokia 1280 kwa wakazi wa Dar mnilekeze nitaipata wapi ikiwa mpya na original natarajia kuingia huko kesho kama unayo mpya na box lake njoo hapa
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Bodaboda uliyekwapua simu yangu maeneo ya Urafiki ukatubu la sivyo kifo chako hakiko mbali

    Wasalaam wana JF. Leo nimekwapuliwa simu na bodaboda maeneo ya urafiki karibu na stendi ya Kilimanjaro Express. Issue ilikuwa hivi. Nilikwenda kupokea mgeni wangu hapo stendi mida ya saa 3 usiku huu. Katika kuwasiliana na mgeni wangu kumbe bodaboda kanilia mingo. Nimeshtukia simu imekwapuliwa...
  15. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya ili kuhakikisha sekta ya mawasiliano ya simu Tanzania inaendelea kukua na kustawi

    Tanzania imepata mabadiliko makubwa ya teknolojia katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Leo hii, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 11 wanaotumia mtandao wa intaneti kupitia simu zao za mkononi. Maendeleo haya ni fursa ya kubadili maisha na kukuza maendeleo ya mtu mmoja mmoja na nchi kwa...
  16. Godbless mtega

    JamiiForums Tanzania Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    Samahani wajameni naombeni ushauri kidogo. Nina Tzs 600k nahitaji kununua simu ila katika kupita pita nimeona matangazo ya Oppo A9 2020 yamenivutia kidogo. Ushauri wenu kwangu hii simu au kampuni ya Oppo n nzuri au niachane nayo? Ina megapixel 48.
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TCRA Msiache kuzima hizi makampuni za simu, voda ikiwemo

    Twende moja kwa moja kwa mada. Umemuomba mtu pesa ili ununue dawa kwa ajili ya mgonjwa uliyemuacha hospitali ukiwa njiani unasikia mlio wa meseji, unasogea pembeni kwa tashwishwi kuwa jamaa yako kakusapoti. Au unadhania ni taarifa kutoka hospitali ulipomuacha mgonjwa kuwepo kwa mabadiriko mara...
  18. Mshua's

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua simu yenye sifa hizi, je ni simu ipi itanifaa?

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua simu ila sijajua ni brand gani kati ya Samsung, Nokia au Infinix Nahitaji simu yenye sifa hizi: - Processor - snapdragon 630 - Ram 4, CPU 32 GB - Kioo supergorrila 3 - Battery 4000 mAh - Camera 16 mp - Na vitu vingine kama...
  19. Threesixteen Himself

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua jinsi ya kutuma meseji toka kwenye email kwenda Kwenye namba ya simu ya kawaida

    Habari, Kama Kichwa cha habari kinavyosea, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo; 1. Namna ya kutuma meseji kutoka kwenye email ikaingia/ikaenda kwenye namba ya simu ya kawaida. Mfano kutoka gmail halafu ikaenda kwa mtumiaji wa simu ya kawaida mfano wa tigo, vodacom halotel etc. 2. Nina...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Watu 900,000 wameshafungiwa line zao za simu, ni wale wenye vitambulisho lakini hawakuvitumia kusajili line zao

    Serikali imesema zaidi ya watu 900,000 ( laki tisa) wameshafungiwa line zao za simu baada ya kushindwa kujisajili kwa alama za vidole. Serikali imesema zoezi la ufungaji simu limegawanywa katika makundi matatu; Kundi la kwanza ambao tayari wameshafungiwa ni wale wenye Vitambulisho vya taifa...
Back
Top Bottom