simu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua simu kwa bei ya jumla

    Habari zenu wadau wa jukwaa la biashara. Mdau mwenzenu nimewaza sana biashara ya kufanya baada ya kudunduliza kwa mda mrefu sana Tsh 10 millions na nikakopa 10 million jumla nna 20 million, nimeona nifanye biashara ya kuuza simu. Mpango wangu ni huu. Soko/Frame: Arusha mjini. Brand: Samsung...
  2. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tecno spark 5, simu yenye kamera 5 kuzinduliwa

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15. Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
  3. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Huduma ya pesa kwa njia ya simu inavyoweza kutusaidia kupunguza maambuki ya Corona

    Homa ya corona imetikisa kila kona ya dunia hivi sasa. Tanzania nako si kisiwa kwani napo visa vya maambukizi vilianza kupatikana kuanzia mwezi Machi. Katika nyakati za changamoto hii ni lazima kuhakikisha sote tunashirikiana ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya kirusi cha homa hii. Tumeona...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Simu ambazo ni refurbished

    Wakuu wa mambo ya technology Hebu naomba mnisaidie kutofautisha kati ya simu ambazo ni refurbished na zile ambazo sio refurbished? ===== The term ‘refurbished phone’ generally refers to a pre-owned handset that has been sent back due to a fault and has been repaired for re-sale. Not all...
  5. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watumiaji wengi wa Tecno na Infinix wanapenda kujaza screen protectors kwenye simu zao?

    Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa. Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha. Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kinyasu: Watalii wanatupigia simu wamechoka kufungiwa ndani huko Ulaya wanataka kuja Tanzania kupumzika

    Naibu waziri wa Maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika. Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia...
  7. Zuia Sayayi

    JamiiForums Tanzania FBI yafanikiwa kufungua (Unlock) na kutoa taarifa za kwenye simu iliyokuwa ikitumiwa na gaidi Syed Farook

    Baada ya miezi ya kujaribu kufungua (bila kufuta taarifa) simu mbili aina ya iPhone [ iPhone 5 na iPhone 7 ] zilizokua zikitumiwa na gaidi aitwaye Syed Farook (21), Hatimaye FBI yafanikiwa kuingia kwenye iPhone iliyokuwa ikitumiwa na Syed Farook aliyehusika na tukio la kuwamiminia risasi na...
  8. Miki123

    JamiiForums Tanzania Huawe walipokataa dili la kuunda simu za pixel walikuwa sahihi?

    Google wamiliki wa android wana simu ambazo ni nadra kuzikuta huku kwetu zinaitwa pixel. Pixel zinadizainiwa na kufanyiwa promotion na google wenyewe lakini wanaozalisha simu za pixel ni HTC kampuni ya taiwan. Kabla ya htc kupata tenda google walijaribu kufanya dili na huawei. Huawei...
  9. The MVP Tricks

    JamiiForums Tanzania Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga, aliyekataa kupokea simu si rafiki yako Magufuli bali ni Rais Magufuli

    RAILA KAMSHAURI MAGUFULI YUPI? Raila Odinga anadai amempigia Rais wetu Simu kumshauri kuhusu Corona. Anavyodai sijui hajampata kwenye Simu..... Kitu ambacho Raila anatakiwa kukifahamu ni kwamba Kuna Magufuli wawili, Mmoja ni Rafiki yake ambaye wanaweza kujadiliana naye chochote kwa wakati...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa iphone na simu za Android

    Wakuu hivi utofauti wa simu ya I Phone za simu za android kama Samsung,Oppo ni upi? Je, i Phone yenye Storage ya 16GB inaweza ikawa tofauti na Samsung yenye storage ya 16 GB Hapa nazungumzia utofauti kwenye jinsi inavyofanya kazi na uwezo wa kuhifadhi mafaili Achana na suala la chaji na...
  12. ronnycharlz

    JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  13. JipuKubwa

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

    Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu wa Afya ametengwa? Kitengo cha kupambana na COVID 19 kimehamishiwa ofisini kwa Waziri Kabudi?

    Kabla Rais hajamuondoa marehemu Dkt. Augustine Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje alianza sana kumtumia tumia Prof. Kabudi hadi akamuwakilisha kuongea na diaspora wa USA. Baadaye tuliona yaliyotokea. Leo nimemshangaa sana Waziri wa Mambo ya Nje kubeba majukumu yote ya Wizara ya Afya hadi...
  15. Dam55

    JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe: Laini za simu zimeongezeka kutoka mil 39 mwaka 2015 hadi mil 43 mwaka 2020

    Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Eng Kamwelwe, ameliambia bunge kuwa matumizi ya simu za mikononi yameongezeka kwa kiasi kikubwa kutoka ml 39 mwaka 2015 hadi ml 43 mwaka 2020. Matumizi ya internet yameongezeka kutoka ml 9 mwaka 2015 hadi ml 25 mwaka 2020 Hilo pia limeenda sambamba na...
  16. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Kuhakiki taarifa za mpiga kura kwa kutumia simu yako ukiwa nyumbani bila kwenda mahali popote

    Fuata Hatua Zifuatazo Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Kwa Kutumia Simu Yako Ukiwa Nyumbani Bila Kwenda Mahali Popote. Ni vyema kila mtu ahakiki na mwezi wa kumi aende kupiga kura ili kuamua mustakabali wa nchi yetu na future yetu sisi na watoto wetu Chagua namba 9 Chagua namba moja Weka...
  17. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

    Wakuu Salaam; 👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Jinsi ya kutumia Simu yenye Password ili kumsaidia Mgonjwa ambaye simu yake ina Password

    Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

    Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
  20. COVID 20

    JamiiForums Tanzania Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

    Mambo zenu ndugu zangu Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa picha za utupu na mke wa mtu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi na ambaye mme wake yupo kikazi...
Back
Top Bottom