Leo imeisha hivyo,
Katika mizunguuko yangu ya siku hatimae nimerejea nyumbani, nimerejea nikiwa na maumivu ndiyo! Ni maumivu ya uchovu wa kazi lakini pia ni maumivu ya kukosa bila kuambulia chochote yaani nimetoka patupu
Basi najisemea siku hazifanani kesho nayo siku
Ndio hivyo wakuu.