siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania India yapoteza ndege 5 za kivita katika siku ya mwanzo ya vita

    Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo. Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan...
  2. JamiiForums Tanzania Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

    Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
  3. JamiiForums Tanzania Ibrahim hakuwahi fika Saudi Arabia/ Makka hata siku moja. Hili nalo tulitafakari

    1. Ushahidi wa Kiakiolojia (Archaeological Evidence) Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kiakiolojia (mabaki ya majengo, maandishi ya kale, nk) unaothibitisha kwamba mtu anayeitwa Ibrahim alifika au kuishi katika Makka au sehemu yoyote ya leo ya Saudi Arabia. Sababu kuu: Makka haikuwa kituo...
  4. JamiiForums Tanzania MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kila siku niwe nalaza laki mbili -200k

    Wakuu nimeona hii ishu inawezekana nikikaza…. Nataka kila siku niwe nalaza laki 2 nifanye ishu ipi? Au niwe natabia zipi zinazoendana na kiwango hicho cha return
  6. P

    JamiiForums Tanzania Siku ya pili sasa familia Mdude Nyagali ipo kwenye maumivu makali

    Hii hali ya kuteka, kutesa na kupoteza watu ni torture kubwa sana kwa ndugu wa mtu aliyetekwa na kupotezwa. Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya ndugu zake Mdude, aisee ni maumivu makali sana wanapitia ndugu zake. Kwa kosa gani kijana mdogo yule atendewe aliyotendewa? Kwa kosa gani alilolifanya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi hakuna miujiza kama Yesu alivyoagiza KWA wafuasi wake?

    Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi. Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema. Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  9. JamiiForums Tanzania Media ni platforms ambayo inaweza kukuza ama kubomoa na kuleta majanga

    Sasa Hivi SAJENTI anaomba kukutanishwa Na PATENI, Hata kama walikuwa na kutoelewana ila kwa namna moja ama nyingine Media zinachochea ugomvi wa hawa madogo. Hawana experience ya kuhojiwa kila watakachoulizwa hata kma ni chonganishi wanajibu bila kufikiria swali lina maanisha nini.
  10. JamiiForums Tanzania Hii iwe alert kuwa kuna siku na wewe utapata shida na Polisi wataamua kukudhalilisha wakijisafisha.

    Je polisi huwa hawana akili kabisa most of them? Huwa wengi najua wamechukuliwa ni failure wa kidato cha 4 lakini ina maana hata wakubwa wao nao ni wale wale? Wakatoliki nadhani hii iwe ni alert kwenu sasa. Muendelee kujiambatanisha na CCM mkidhani mpo salama. Walipofanyiwa masheikh mlisema...
  11. JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2025 Kawe

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'. Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
  12. JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Moisi' 2025

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
  13. JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya wafanyakazi 2025 kutoka Prath Limited

    Prath Limited tunaungana nawe kukutakia heri ya siku ya wafanyakazi 2025. Prath Limited joins you in wishing you a Happy Labor Day 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Muhamad hajui yeye na wanaomfuata watafanywa nini siku ya Kiyama

    Qur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9 Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Viet Nam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
  16. JamiiForums Tanzania Mei Mosi (labor day) ndo ilitakiwa iwe siku ya wajinga duniani

    Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali Badala ya kulalamikia 2. Watumishi wamepewa Fulani na...
  17. JamiiForums Tanzania PDPC: Leo ni Siku ya Mwisho ya Usajili wa hiyari kwa Wachakata Taarifa Binafsi

    Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 (Sura ya 44), taasisi au mtu yeyote anayeshughulika na ukusanyaji au uchakataji wa taarifa binafsi nchini Tanzania anatakiwa kujisajili na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Kushindwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria...
  18. JamiiForums Tanzania Mstaafu Kulipwa Mafao Ndani ya Siku Saba (7)

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema kutokana na maendeleo ya mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), sasa hivi mstaafu anaweza kulipwa mafao yake ndani ya siku saba, licha ya sheria mpya ya Mafao kutaka...
  19. JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanalitaja jina la Mhe. Samia kwa wastani wa mitajo 1,978,365 kila siku ukilinganisha majina mengine

    Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku! Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…