siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hii iwe alert kuwa kuna siku na wewe utapata shida na Polisi wataamua kukudhalilisha wakijisafisha.

    Je polisi huwa hawana akili kabisa most of them? Huwa wengi najua wamechukuliwa ni failure wa kidato cha 4 lakini ina maana hata wakubwa wao nao ni wale wale? Wakatoliki nadhani hii iwe ni alert kwenu sasa. Muendelee kujiambatanisha na CCM mkidhani mpo salama. Walipofanyiwa masheikh mlisema...
  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2025 Kawe

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'. Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Moisi' 2025

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
  4. radhiya

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya wafanyakazi 2025 kutoka Prath Limited

    Prath Limited tunaungana nawe kukutakia heri ya siku ya wafanyakazi 2025. Prath Limited joins you in wishing you a Happy Labor Day 2025.
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muhamad hajui yeye na wanaomfuata watafanywa nini siku ya Kiyama

    Qur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9 Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Viet Nam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi (labor day) ndo ilitakiwa iwe siku ya wajinga duniani

    Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali Badala ya kulalamikia 2. Watumishi wamepewa Fulani na...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PDPC: Leo ni Siku ya Mwisho ya Usajili wa hiyari kwa Wachakata Taarifa Binafsi

    Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 (Sura ya 44), taasisi au mtu yeyote anayeshughulika na ukusanyaji au uchakataji wa taarifa binafsi nchini Tanzania anatakiwa kujisajili na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Kushindwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kulipwa Mafao Ndani ya Siku Saba (7)

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema kutokana na maendeleo ya mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), sasa hivi mstaafu anaweza kulipwa mafao yake ndani ya siku saba, licha ya sheria mpya ya Mafao kutaka...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanalitaja jina la Mhe. Samia kwa wastani wa mitajo 1,978,365 kila siku ukilinganisha majina mengine

    Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku! Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Alon Ohel amekuwa Mateka huko Gaza kwa siku 570

    Alon Ohel amekuwa kifungoni huko Gaza kwa siku 570, akiwa na njaa, akijeruhiwa, akinyanyaswa na kufungwa minyororo. Alon alipoteza uwezo wa kuona katika jicho moja na alikuwa na vipande kwenye mwili wake tangu tarehe 7 Oktoba. Leo babake alitoa habari mpya kuhusu hali yake ya kushangaza...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kisa hiki cha Mtoto mchanga wa siku tatu Police wambeba kwa mahojiano inasemekana Kamtaja Samia..

    GT Maajabu hayajawahi kuisha.duniani hapo. Mchawi wa samia bado yupo hai. Inasemekana Mtoto aliyezaliwa tarehe 9 April 2025 ameongea na kumkanya Samia kuhusiana na mwenendo wa nchi kwa sasa.
  14. iddy mweka

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  15. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI? Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2025

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  18. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zake. Je, kuna madhara?

    Yaani dushe Lina rangi nyekundu ipi madhara yake? nisaidien wakuu Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zak. Je kuna madhara
  19. KJ07

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje siku Muungano ukivunjika?

    Salaam wakuu, Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika, Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo. Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake. -Ulinzi na usalama wa taifa -Mambo ya nje (diplomasia) -Uraia...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

    Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh? Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa. Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
Back
Top Bottom