siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa siku

    Wakristo wanaamini ndoa ni ya mume mmoja na mke mmoja..na hivyo si sahihi kiroho kwa mkristo kuhani msiba kwa mume au mke wa pili kwa mtu..! Muwe na jumapili ya Baraka.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  3. JamiiForums Tanzania Tiktok live za siku hizi zina lengo gani?

    kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa. Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume. kamatana! shika box la...
  4. JamiiForums Tanzania Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

    Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria. Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata? Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na polisi. Baaddae wao kwa wao watapigana na kuuana.
  6. JamiiForums Tanzania Je, siku ya hukumu, ataangua kilio au atapiga mayowe na kurusha mikono hewani tu na makelele yake juu?

    Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina. Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa? Tutarajie mayowe na makelele?🐒 Mungu Ibariki Tanzania.
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ni takribani siku tano sasa Mji wa Kahama hakuna huduma ya maji

    Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Ni takribani siku tano sasa hakuna huduma ya maji, hasa katika Mtaa wa Majengo, Kahama, ambako kuna idadi kubwa ya wakazi. Licha ya kuwepo kwa baadhi ya visima vya watu binafsi, maji yake si salama kwa matumizi. Hata baada ya kuoga, baadhi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Zimbabwe atangaza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya kitaifa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza rasmi tarehe Septemba 15, ambayo ni siku yake ya kuzaliwa, kuwa sikukuu ya umma nchini humo. Sikukuu hiyo mpya inayojulikana kama Munhumutapa Day, imewekwa rasmi kwenye sheria za nchi kupitia Statutory Instrument 148 ya mwaka 2026. Tarehe hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa Wahenga Tunaowakariri Kila Siku Kwenye Methali na Misemo ni Kina Nani Hasa?

    Kila siku tunasikia "Wahenga walisema..." au "Wahenga hawakukosea..." Lakini umewahi kujiuliza kwa kina, hawa wahenga walikuwa akina nani hasa? Walikuwa na sura gani? Walikaa wapi, na kwanini kila neno walilosema limebaki kuwa sheria ya maisha hadi leo? Shusha pumzi, vuta kiti karibu. Leo...
  10. JamiiForums Tanzania Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

    Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika, na kwa unafiki, maombi ya kipepo na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki: Silaha kubwa wanayotumia ni Watanzania tumeshawazoea, watapiga tu kelele siku tatu, ya nne watasahau na kuendelea na maisha”

    Silaha kubwa wanayoitegemea na kuitumia watawala ni hii sentesi “Watanzania tumeshawazoea, watapiga tu kelele siku tatu, ya nne watasahau na kuendelea na maisha” Hiyo silaha wanaitumia kwenye kila uchafu wanaoufanya…….. And yes, so far ina~work ✅ Untill tutakapoamua kuwaonyesha tofauti.
  12. JamiiForums Tanzania Ile hofu miongoni mwa watu inaendelea kuondoka kila siku

    Kila nikiangalia TUKIO la daktari aliempasua trafiki baada ya kuleta ungese wake, nimekaa nikafikiria sana, naona na wenzake madaktari wanakua kitu kimoja na wanapanga kugoma nchi nzima. Tanzania inayokuja nimekaa nikaishia KUCHEKA TU mana nakuapia Kuna siku Hawa mnaowaita watekaji mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  14. JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi Wasitisha Mgomo wa Siku 41 Baada ya Makubaliano na Magavana

    Wauguzi Wasitisha Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umesitisha mgomo wa kitaifa uliochukua siku 41, baada ya kufikia makubaliano na Baraza la Magavana (CoG). Katibu Mkuu wa KNUNM, Seth Panyako, alitangaza Jumatano, Septemba 9, 2026, kwamba mgomo ulioanza Julai 29 umefutwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

    Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la RC Chacha Kanda ya Ziwa tumeitisha kikao cha Dharura siku ya Jumamosi

    Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha. Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania ACHANA NA KULIMA KWA JEMBE! RT155 POWER TILLER 15HP INALIMA ZAIDI YA EKARI 8 KWA SIKU – INAUZWA TSH 9,500,000/=

    𝗧𝗨𝗡𝗔𝗨𝗭𝗔 𝗥𝗧𝟭𝟱𝟱 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 🔥 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨, 𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗜𝗦𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢! RT155 Power Tiller ya mikono mirefu inapatikana muda wowote kwa wakulima wanaotaka kuongeza kasi na ufanisi wa kulima mashamba yao. 𝗩𝗜𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗞𝗨𝗝𝗔 𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢: ✓ Diesel Engine ✓ Chassis imara ✓...
  20. JamiiForums Tanzania Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

    Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini. Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo. Maoni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…