Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu.
Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye...
Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi.
1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao.
2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao.
Tuwe...
Wana JF wenzangu, nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara miaka kadhaa iliyopita. Kutokana na changamoto ya maisha, kazi nilikuwa sina nikaenda kuishi kwa bamkubwa ili nijipange upya.
Kwa sasa nimekaa miezi minne kwake leo asubuhi kaniambia “nimekupa siku 30 uondoke kwangu”.
Wakuu naombeni msaada...
Watu 177 ndani ya jiji la Nairobi wamekamatwa kwa kukiuka hatua za afya za kujikinga dhidi ya #COVID19 siku ya sikukuu ya Pasaka.
Polisi wamesema wengi wao walikuwa katika maeneo ya kunywa pombe ‘Pubs’ wakiwa wamerundikana na hawana barakoa.
Wote waliokamatwa wameachiwa kwa dhamana na...
Kuna watu wanaleta utetezi kua mitandao ambaayo haijabadilisha vifurishi ni kutokana na suala la programing, pia kwenye gazete wanasema inaeeza kuchukua siku zaidi ya nne, mpaka leo hii bado mitandao hiyo haijabadilisha vifurushi.
1. Je, ni kweli wataalamu wa serikali wanaamini kua system...
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?
Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela.
Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo...
Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki.
Amin
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akikagua Miundombinu ya Umeme eneo la Ntyuka Jijini Dodoma 1 Aprili 2021, amewataka Wananchi kutoa taarifa sahihi na mapema pale Umeme unapokatika katika maeneo yao ili TANESCO iweze kuwafikia haraka na kurejesha Umeme mapema.
Waziri Kalemani ameeleza...
Eliya alifufua
Elisha alifufua
Yesu alifufua
Paulo alifufua
Petro alifufua.
Watumishi wote wamepewa amri sio ombi "Kufufua".
Kipindi cha nyuma Askofu Gwajima alijitahidi kuonyesha nia bila matunda dhahiri.
Sasa watumishi, walokole, wasabato,wakatoliki,mashehe, watambikaji inakuaje mnakaa...
Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini wapi.
Mwisho wa siku nilikubali matokeo niliumia sana lakini mwisho wa siku ilibidi nikubali kumwacha...
Misingi ya kuomboleza siku 21 kitaifa imebebwa kwenye alama na si mioyoni?
Ukirejea sheria zote zilizotungwa na bunge chimbuko lake lilitazama tamaduni na mila!
Kila kabila lililounda taifa lina namna yake ya kuomboleza, kwa mfano;
Yapo makabila hunyoa nywele kama alama ya maombolezo.
Wapo...
HAKUNA SABABU INAYOZUIA WATU WASIMSHEREKEE MWOKOZI WAO
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Imani zipo tofauti, kila mtu anaamini katika kila anachoona ni sahihi. Linapokuja suala la dini serikali lazima iwe makini hasa, sio serikali, mtu yeyote yule awe makini sana.
Mimi ni Msabato kwa asili...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Kuzuia sherehe za Pasaka kwa namna yoyote ile ni kuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.
Ipo tofauti ya imani na amri...
Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo.
Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi...
Siku kama hii nakumbuka miaka 15 iliyopita kuna Dada yangu mmoja alipigiwa simu na kuambiwa aende kwenye interview ya kazi fulani hivi aliyokuwa akiifuatilia.
Siku kama hii na mwezi huu alipopigiwa simu aliondoka na kwenda Posta ya zamani wakati huo katika jiji la Mindule. Alipofika ofisini...
Aprili 01: Ni siku ya vituko iliyopewa jina la ‘Siku ya Wajinga’ watu wamejenga mazoea ya kupeana taarifa za mzaha, zisizo na ukweli kwa lengo la kufurahishana, lakini mzaha unapozidi husababisha wengine kuumia.
Dar es Salaam. Najua leo umepanga mengi ya kufanya ili kuwadanganya ndugu, jamaa na...
Binafsi nina mazoea tu ya urafiki wa kawaida na msichana mmoja mtaani kwetu ambae tayari ana mtoto mmoja, lakini mwanaume ambae yuko nae kwenye mahusiano kwa sasa yupo mkoa mwingine kikazi.
Lakini kinachonishangaza huyu mdada hua hapendi nimuite kwa kutumia jina la mtoto wake mfano "mama...
VIDEO hapa chini ilianza kusambaa mnamo mwaka 2019 juu ya mipango ya kuhakikisha nchi za kiafrika kubaki maskini na tegemezi kwa nchi za magharibi iwe jua, iwe mvua.
Na hii ndio inayoitwa hasa VITA YA KIUCHUMI kama hayati wetu JPM alisisitiza kuwa nayo makini kwani ni ngumu mno zaidi ya vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.