siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tukio gani muhimu katika historia ya Tanganyika lilitokea siku kama ya leo, Aprili 17, 1953?

    Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam. Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

    Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya kumbukumbu ya Hayati Jemedari Dkt. Magufuli iadhimishwe sambamba na mashujaa hawa wa kizalendo nchini

    Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo. Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Masimulizi kamilifu ya alfu lela u lela au siku elfu moja na moja

    KITABU CHA KWANZA. Tafadhali pakua faili lililoambatanishwa kwenye uzi huu likiwa kwenye mfumo wa PDF
  6. J

    JamiiForums Tanzania Alichohoji Profesa Muhongo ni kama bei ya umeme itakuwa nafuu kuanzia siku ya kwanza au baada ya kurudisha gharama za uwekezaji?

    Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder. Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hisia za mapenzi hamna siku hizi kwa sababu ya hizi smartphone

    Sasa hivi watu wako busy kuperuzi mitandaoni kwani dunia ni kama Kijiji mtu unapata vyote ambavyo unavihitaji.. Ukitaka kufurahi na kuvunja mbavu huitaji mpenzi akuchekeshe unaingia katika page za vituko unakutana na comedy. Ukitaka mtu wa kufanya naye sex unaingia tu katika site za X...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

    Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania? Akina...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa. Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine? Upinzani...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima
  11. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na wasichana wanapenda sana kutoboa pua na kuvaa vipini siku hizi?

    Nini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Siku moja Rais Samia Suluhu nae azisikie hizi nyimbo za Singeli na 'Matusi' yao kisha amalizane rasmi na BASATA

    Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia. Maudhui ya Kimatusi ya Msanii A "Umo Umo akipanua tu Wewe ingiza Chuma cheusi Moto uwake " Maudhui ya Kimatusi ya Msanii B...
  13. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini vijana wengi siku hizi wamekuwa waoga wa kutafuta maisha?

    Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wadau huko kwenu hali ya mafuta ya kupikia ikoje?

    Heshima kwenu wakuu sana! Niliwahi sikia kuna meli zilizo na shehena ya mafuta ya kupikia zimeingia na siku si nyingi bei ya mafuta ya kupikia itashuka kwa maana ya kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Baada ya kusubiri kwa miezi karibia miwili leo nimeenda kununua mafuta na cha ajabu bei imepanda...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

    Toka jana huduma ya Tigo pesa haipatikani, nimeongea na huduma kwa kwa wateja wanasema ni kweli huduma hiyo haipataikani ila mafundi wanapambana kushughulikia tatizo. Kilicho nikwaza ni kukaa kimya kwa siku zote bila kutoa taarifa, leo nilitakiwa kufanya malipo ya watoto shule nataka kutoa...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Siku 19 za Urais wa Samia Hassan Suluhu

    Wanaukumbi. “Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa mkoa wa Mbeya: Mwili wa John mtoto wa Mama John umewasili Jioni hii Kyela kwaajili ya Mazishi siku ya kesho

    Je, unafahamu sehemu inayoitwa Mama John? Mwili wa John hatimaye umesafirishwa kuelekea Kijiji Cha Lugombo kata ya Mwaya wilaya ya kyela kwaajili ya Mazishi. Atazikwa karibu na mama yake mtu maarufu mama John. Historia imemaliza mwendo Apumzike salama KAMANDA. Walaaniwe walioudhulumu uhai...
  18. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

    Ndani ya siku 18 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara HAPANA, siyo kwamba ameajiri HAPANA, siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani HAPANA bali ni MATAMSHI yake tu kama Kiongozi Mkuu wa nchi yanaendelea kuliponya taifa bila sindano wala vidonge...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Siku 21 za maombolezo ya kifo cha Rais Magufuli zafika ukingoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa makamu wa Rais alitangaza kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Magufuli Machi 17, 2021 na kutangaza maombolezo ya siku 21 kwa mujibu wa sheria. Hayati Rais Magufuli amefanyiwa maombolezo yakiwa ni pamoja na bendera...
  20. mama D

    JamiiForums Tanzania Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

    Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu. Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan. Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye...
Back
Top Bottom