siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
  2. JamiiForums Tanzania 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  3. JamiiForums Tanzania Siku netanyahu akifa basi jamii ya waarabu wa asia na hawa wa yombo dovya watafurahi sana kupindukia

    Nafikiri jamaa ukimtoa shetani yeye ndio adui namba mbili kwao😁
  4. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, 28/09/2026

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo... Ernest Sungura Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026: Unapataje Taarifa Sahihi katika enzi hizi za Kidijitali? “Changamoto yetu si uhaba wa taarifa, kwani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara mauzo million 800,000,000/=

    Asanteni sana wataje wangu kutoka tanzania,Zambia,Rwanda na malawi kwa mwanzo huu wa mauzo mmnipa mwanga wa kufika mbali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Siku Viongozi, Watawala, watawaliwa wote tukiwa tayari kujisahihisha tutatoka pale

    Kibanda: Nakujibu swali lako uliyosema tufanye nini. Sisi kama taifa lazima tuseme turejee katika misingi. Na pili tufanye kile ambacho Baba wa Taifa na Mwanzilishi alisema 'tujisahikishe'. Na hili la kujisahikisha hili... Ukiwaangalia viongozi wa serikali, wanataka sisi tujisahikishe...
  7. JamiiForums Tanzania Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  9. JamiiForums Tanzania Dawasco Shirika linatia hasara serikali kila siku

    Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake.. Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake. Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
  13. JamiiForums Tanzania Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Siku Muhimu zenye mafundisho Maishani

    Wakuu kuna moments huwa binadamu tunazipitia, zinakuwa ni nyakati ngumu zinazokupa mzigo kichwani kias kwamba unakata tamaa kabisa unajiambia moyoni hapa sitoboi dadek, ila unajipa moyo ngoja niendelee kujaribu ikishindikana basi. Halafu unaona mambo yanaanza kuclick, unaanza kuelekea kwenye...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mgogoro waibuka Moshi Club ,wanachama watoa siku 14 kwa menejimenti

    MOSHI Moshi Sports Club imeingia kwenye mvutano wa kiutawala baada ya wanachama 16 wa klabu hiyo kuwasilisha malalamiko kwa Trustees, wakidai kuwa uchaguzi wa viongozi haujafanyika kwa mujibu wa masharti ya katiba ya klabu. Wanachama hao, kupitia barua yao, wanasema kutofanyika kwa uchaguzi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi; Laiti siku mimi fundi samico nikiwa kiongozi wenyeviti na watendaji wa mtaa watanyooka, Huwezi kuuza eneo lenye mgogoro

    Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa 3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wannanchi wanavyopqmbana na vyombo vya dola, siku askari wakizidiwa itakuwaje?

    Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka. Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje? Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
  18. JamiiForums Tanzania Elimu ya tanzania hipo siku lawama zitakuwa nyingi hapa JF na kwengine.

    Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi. Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary. Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali ambao kakosa. Haya Je kwenye matokeo kila mzazi anaambiwa mtoto wake kawa wapili au wa kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Huwa nashindwa kuelewa hili ni bunge la wananchi au bunge la serikali? Mbona wananchi wanatekwa kila siku hatuoni bunge likiongelea wananchi wao?

    Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…