sheria

  1. DOKEZO Shinyanga: Licha ya uwepo wa Sheria, Kanuni na Mifumo ya Usimamizi lakini simulizi za wachimbaji wadogo mgodini zinaonyesha taswira tofauti

    Licha ya kuwepo kwa sheria, kanuni na mifumo ya usimamizi wa sekta ya madini nchini, simulizi kutoka migodi ya wachimbaji wadogo mkoani Shinyanga zinaonyesha taswira tofauti usalama bado ni kitendawili kisichopata majibu. Katikati ya hali hiyo, sauti ya mtaalamu wa jiolojia, James Kibiti Muiko...
  2. Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  3. LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  4. A

    Pongezi kwa TAKUKURU Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa Kusimamia Uwajibikaji na Kuruhusu Sheria Kufuata Mkondo Wake

    Nawapongeza TAKUKURU Wilaya ya Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika kuchunguza tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika Idara ya Afya. Hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa DMO wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na...
  5. LHRC: Kaya 600 zaondolewa kwa Nguvu na kinyume cha sheria katika Kitongoji cha Luhafwe, Katavi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kuhusu zoezi la kuwaondoa wananchi kwa nguvu na kinyume cha sheria katika Kitongoji cha Luhafwe, Kijiji cha Vikonge, Kata ya Tongwe, Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Zoezi hilo linadaiwa kutekelezwa kwa amri na chini ya usimamizi...
  6. Bora tufikishane mbali potelea pote. Lakini huwezi nitandika Mbele za watu kisa wewe kiongozi bila Sheria kufuatwa

    BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni. 2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
  7. R

    Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??

    Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??
  8. Ghana Yapitisha Sheria Kali Dhidi ya Ushoga

    Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025. Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa...
  9. Sheria Mpya EU: Betri za Simu Zibadilishwe na mtumiaji.

    Kuanzia mwaka 2027, Ulaya inashinikiza watengenezaji wa simu na kompyuta mpakato (tablets) kubuni vifaa vyenye betri ambazo watumiaji wanaweza kuzibadilisha kwa urahisi zaidi. Kanuni hii ni sehemu ya juhudi pana zaidi za kufanya vifaa vya kielektroniki vidumu kwa muda mrefu na kupunguza taka...
  10. Nyahoza: Vyama vya siasa vifuate sheria tusiwe tunaandikiana barua

    Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kuwa ujio wa ofisi hiyo katika Makao Makuu ya CHADEMA leo Jumatatu, Juni 1, 2026, ulikuwa na agenda moja tu ya kisheria inayohusu uundaji wa sera na madawati ya jinsia, huku akigoma katakata kujibu maswali ya wanahabari kuhusu...
  11. Jaji John Ruhangisa: Wabunge wanapoongea bungeni, wanayoyaongea ni kweli wametumwa na wananchi?

    Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE ----------------------------------- Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
  12. A

    KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  13. Q

    Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake. Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi. Pascal Mayalla
  14. S

    Sheria ya kubinafsisha mali

    Binafsi nafikiri Sheria ya kubinafsisha mali aliyoiweke Mwalimu Nyerere iendelee kuwepo ILI wale wote watakaobainika kutumia raslimali za umma kwa faida yao binafsi mara watakapo tiwa hatiani ziweze kubinafsishwa na kutumiwa kwa manufaa ya umma. Nafikiri kuifuta kabisa hii sheria ni sawa na...
  15. Itungwe sheria kuzuia uchomaji wa Taka ngumu mitaani

    Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani. Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu. Unakuta taka zina nailoni mbali mbali na materials nyingine ambazo zinaweze kuwa na madhara ya kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo.
  16. A

    KERO Mlangarini Sekondari (Arusha) mnazuia Vyeti vya Wanafunzi kwa Sheria au Kanuni ipi?

    Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo lililotokea baada ya watoto kumaliza masomo yao. Kinachonisikitisha ni kwamba, kuna wanafunzi 21 tu...
  17. LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  18. Shigongo: Biashara za Wazawa Kariakoo zinafungwa, tutunge sheria Biashara chini ya Bilioni 50 isifanywe na Wageni

    Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
  19. Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

    Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria. Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini. Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria. Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini. Pili...
  20. P

    CCM na utii wa sheria

    Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…