sheria

  1. Narudia, Vita sio maonyesho kama World Cup. Vita havinaga Macho wala sheria

    NARUDIA, VITA SIO MAONYESHO KAMA WORLD CUP. VITA HAVINAGA MACHO WALA SHERIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui kwa nini watu wanapumbazwa na artificial laws, editing, makeup. Vita ni jambo la asili. Inapotokea sheria za kutengenezwa hazifanyi kazi. Na ukiona zinatumika ujue ni ulaghai...
  2. Mapinduzi ya Uturuki na waliyokumbuka na sheria zikabadilishwa ila hapa Tanzania mnaogopa nini?

    Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
  3. China imeongeza sheria ya PHD ila tanzania PHD hata wasio soma na waliopata F wanazo hapa.

    Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti. Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD. Huyu masuya na...
  4. Wanaume tunapotezewa mda ila sheria zijawahi kuwa na sisi embu angalia hapa

    Wanaume kila sheria ina tufanya kuwa wakosaji. Leo mzazi mwenzake anatamba
  5. Samia: Hakuna aliye juu ya Sheria zetu, atakayevunja sheria atashughulikiwa

    Samia anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Mama huyo ameyasema hayo wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Arusha,Tanzania.
  6. M

    Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  7. Hamza Johari: Sheria ikiwa dhaifu, inaweza kuruhusu matumizi mabaya ya madaraka na upotevu wa rasilimali za taifa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026 Amesema... Sheria si maandishi tu. Sheria ni miundombinu ya taifa. Kwa maana ya kwamba sheria ikiandikwa vibaya inaweza...
  8. Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin Nalimi Kisandu(CIVILIAN-COIN) kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo na hawaitambui Mahakama.

    Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo. Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho kinachotakiwa kuhaririwa jina Moja, kutoka jina la ubatizo la kwanza "Deogratius" na kuweka jina jipya maarufu...
  9. R

    Zimbabwe: Rais Mnangagwa asaini sheria ya kujiongezea muhula wa kukaa madarakani. Hakuna tena Wananchi kushiriki kumchagua Rais

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesaini rasmi sheria mpya inayoongeza muda wake wa kukaa madarakani kwa miaka miwili hadi mwaka 2030, kulingana na taarifa iliyotolewa Julai 7, 2026 na msemaji wa serikali, Nick Mangwana. Muswada huo ulipitishwa na Seneti ya Bunge mwezi uliopita Sheria...
  10. Mbunge Sigrada: Tanzania tuna utawala wa matamko, hatuna utawala wa sheria

    Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa taasisi za umma Hakunanga utawala wa sheria. Tanzania tuna utawala wa matamko. Sheria zipo ila...
  11. Jeshi halitalinda yeyote muandamanaji ukitoka tu wewe ni mfanya vurugu na utadhibitiwa kwa mujibu wa sheria

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya watu au makundi yanayohamasisha vurugu nchini, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kudhibiti ghasia na uvunjifu wa amani kwa kushirikiana na mamlaka za kiraia. Katika taarifa rasmi kwa umma iliyotolewa leo...
  12. Darasa la Sheria la Wakili Peter Madeleka

    Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania. Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali...
  13. UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  14. Viongozi Wanajiita Wanasheria "Siyo Mawakili" Tanzania hawajui tofauti ya Wakili na mtu aliyesoma sheria!

    Lowasaa alisema Elimu Elimu Elimu! Waziri mmoja amesema ana mamlaka kikatiba, akaulizwa tutajie kifungu , akakimbia kusema watakutana mahakamani. Ifahamike, Watu waliosoma Sheria kwa hapa Tanzani mpaka sasa ni zaidi ya Laki tano 500,000 lakini mawakili ni 14,000 tu Tangu waanze kusajiliwa...
  15. Ni sheria gani ya nyumba za kupanga ambayo haiwezekani kufuata licha ya kurudiwa mara kwa mara?

    Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
  16. K

    MSWADA WA SHERIA: Pendekezo la Sheria ya kudhibiti na kutokomeza "Uchawa" maofisini na Bungeni (Udhibiti wa Chawa wa Kisiasa)

    Ndugu wana-jamvi, Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
  17. Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana. Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
  18. Je, unadhani ni wakati muafaka sasa kuwe na sheria ya kuruhusu wenye dhamana za wananchi tu ndio wafanye mikutano ya hadhara ya kisiasa?

    Hii ikimaamisha, viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
  19. G

    Je hii ndo Sheria ya vyama vya siasa na je hiki kipengele Cha namba E ndivyo kilivyo ??? Ni swali TU Wataalamu wa Sheria watusaidie ?

    Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI 1. Kanuni hizi zinaitwa kanuni za Maadili ya Vyama...
  20. Waziri wa Fedha: Hoja ya Festo Sanga 'kutungwa kwa Sheria ya Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, hatua zimeanza kuchukuliwa

    Kufuatia pendekezo Mahsusi lililotolewa na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kuomba kutungwa kwa sheria ya kufuatilia na kusimamia Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, zimetelekezwa au zimesahaulika na Wamiliki wake kwenye Makampuni au Taasisi mbalimbali kama Bank, Mitandao ya Simu, Mifuko ya Hifadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…