serikali

  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini ishurutisheni Serikali ijisafishe suala la Lissu kama inasingiziwa

    Viongozi wa dini mpaka sasa ishu ya Lissu vs Serikali mmeikalia kimya huku kila upande ukijihisi una haki. Mpaka Sasa Lissu ni mshindi kwasababu hana kosa lililompasa kuuwawa katika mazingira Yale. Na Wala hana kosa lolote lililomstahili kifo. Binafsi sijamsikia igp siro akisema lolote ila...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Venezuela yadai dhahabu yake ilohifadhiwa benki kuu ya Uingereza. Je, Tanzania nayo ina dhahabu BoE? na je, ina thamani ya kiasi gani?

    Serikali ya Venezuela imefungua kesi ya madai nchini Uingereza kudai kiasi cha dhahabu yake yenye thamani ya dola bilioni 1 ilohifandhiwa katika benki kuu ya Uingereza. Kesi hiyo itakayosikilizwa kwa siku nne mjini London itahusisha pande mbili ambapo ni wawakilishi wa serikali ya Venezuela na...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
  4. JamiiForums Tanzania Pendekezo kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Binafsi katika kupitia marejeo kadha wa kadha katika sura nzima ya siasa na ngazi za uongozi kiujumla serikalini.. Kuna haja ya kupitia suala la mishahara na mafao mengine wanayopatiwa viongozi wa kisiasa wakiwemo Wabunge Mawaziri Makatibu na Wakurugenzi wa idara mbalimbali serikalini.. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

    1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! 2/ Kwa kusema...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Biashara Mpya (ofa ya serikali)

    Katika kuongeza ajira katika sekta binafsi na serikali kuwekeza ili kupata kodi baadaye, napenda kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli kusaidia watanzania kukuza uchumi wao kwa kupendekeza mambo yafuatayo: 1. Serikali iruhusu mtu yoyote kuanzisha biashara yoyote halali na kupewa tax break kwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  8. JamiiForums Tanzania JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

    Naliomba jeshi letu JWTZ liiombe Serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia. Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe. Sababu. Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under...
  9. JamiiForums Tanzania Wadau mbalimbali watoa maoni kuhusu Bunge la 11 lilivyokuwa. Wengine wasema lilikiuka sana Katiba na kuibeba Serikali badala ya wananchi. Wewe je?

    Mchambuzi wa masuala ya Katiba, Sera, Siasa na Maendeleo ya Watu, Mcheleli Machumbana, alisema kwa miaka mitano ya Bunge la 11 lilikuwa na upitishaji wa sheria zinazokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. “Kwa mfano Bunge limeweka kinga ya kupindukia kwa viongozi wakuu wa nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza makato ya kununua umeme kimya kimya mpaka 2%

    Habari wadau wa JF, Serikali yetu inayojali wanyonge imeongeza Tozo hadi kufikia 2% ukinunua umeme kwa kutumia mitandao ya simu na bank. Tatizo sio kuongeza ila wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa kuhusu ongezeko hilo lisilo na kichwa wala miguu. Serikali nyingine kipindi hiki cha korona...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Budget ya Serikali ilivyouacha Utalii hoi

    Budget ya Serikali iliyopitishwa na Wabunge kwa asilimia 98 imeacha Sekta ya Utalii hoi. Janga la Corona limeharibu sekta ya utalii zaidi kuliko sekta zingine. Sasa sijui waziri ndio hajaongea na wadau na kuwasilisha maoni au sijui tatizo ni nini? Jambo la muhimu inatakiwa ni kufufua utalii kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
  13. JamiiForums Tanzania Tusitegemee uchaguzi huru na haki, kama watendaji wa serikali ni makada wa CCM wakitarajia kuja kugombea au kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM

    Sasa watumishi kama hawa ndio mtarajie kutenda haki na usawa?
  14. JamiiForums Tanzania Michezo: Serikali imezuia Mashabiki wa JKT Tanzania fc kuingia uwanjani kwa mechi zote zilizosalia kweye uwanja wa Jamhuri

  15. JamiiForums Tanzania NGO's vs Serikali vs Biashara: Nani anaweza kutatua changamoto za kijamii?

    Coronavirus limekuwa ni janga kubwa la kijamii. Lakini, kwa bahati mbaya, sio janga pekee la kijamii ambalo dunia inalikabili kwa mwaka huu 2020. Mabadiliko ya hali ya hewa. Kuongezeka kwa 'gap' la walionacho na wasionacho. Ongezeko kubwa la watu. Mgawanyo usio sawa wa matumizi ya rasilimali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali tafadhalini wasaidieni abiria wa daladala wa Dar es salaam

    Sasa hivi kuna wizi wa kulazimishana unafanywa na makonda wa daladala. Makonda na madereva wanaweka mazingira ya kulazimisha watu walipe nauli mara mbili ya nauli halali. Wanachokifanya ni hivi: wakifika kituo cha mwisho wa gari wanawatoza abiria kulipa nauli ya kuzunguka. Yaani ukipandia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali sahihi ni ipi kati ya hizi

    1. Serikali ya John Joseph Pombe Magufuli - Ni rais wa nchi hana pesa za mfukoni za kuendesha Nchi si mali yake binafsi... 2. Serikali ya Chama Cha Mapinduzi - Ni Serikali ya Chama Kilichopewa Dhamana ya kutawala kwa wakati huu 3. Serikali ya Wananchi wa Tanzania - Wanalipa Kodi na kuhakikisha...
  18. JamiiForums Tanzania Mapendekezo, ungependa nini cha kufanyiwa kazi ambacho kitaleta mabadiliko ya kiuchumi kwa haraka katika Serikali ijayo 2020 - 2025?

    Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika, Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi...
  19. JamiiForums Tanzania ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia kudumaza mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Habarini wakuu, nimefanikiwa kufanya utafiti ambao ulilenga kuchambua taarifa mbali mbali za kiuchumi za serikali na hususani kabisa zilizolenga taarifa ya kifedha ya serikali (Financial statements) kuanzia mwaka wa fedha wa June 2016 mpaka June 2019. Takwimu nilizotumia kwenye uchambuzi...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali acheni siasa watu tunahitaji vitambulisho

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…