serikali

  1. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

    Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

    Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu. Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

    Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kutoa mapendekezo ya vyanzo vya Kodi kwa Taifa, serikali inasikia kupitia njia ipi?

    Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine. Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kama mdau wa maendeleo naiomba Serikali iweke akaunti maalum, tuichangie

    Habari zenu? Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo. badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari, watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kutegemea wafadhili hatutapiga hatua

    Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu. Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi. Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu kulingana na rasilimali tulizonazo. Hii ya kujivunia kupendwa na wazungu ama kutaka kuonekana uko...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

    Mwamba kaungurumu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

    Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi nyara za serikali ni nini!? Au ni zipi?

    Naomba kuelewa kidogo kuhusu nyara za serikali
  12. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikileta vurugu, CCM itakuwa ndiyo chanzo kwa kukataza mjadala

    Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali toeni kauli suala la Kadi feri Kigamboni

    Kwa kipindi sasa kuna tatizo sana kwenye ishu ya kuvuka Kigamboni. Kuna vijana ambao wanalazimisha watu kununua Kadi au kutumia Kadi kuvuka Kigamboni. Ni Jambo jema Ila the way linaendeshwa ndio tatizo. Sioni sababu yoyote ya kufanya Jambo Hilo kuwa lazima, kiasi kwamba kama hauna Kadi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Ingilieni Huu Ukatili: Hoshi Security Inawanyanyasa vijana wa Kitanzania

    Wanajukwaa, nadhani serikali yetu inabidi iangalie kwa umakini mkubwa haya mambo ya ukatili ndani ya hii nchi. Kuna mambo ya ajabu mno. Mara kwa mara naenda Mikocheni kumtembelea mchumba wangu anayeishi Mikocheni Baraka Plaza Apartments, na mara nyingi nawakuta vijana wale wale waigwa lindoni...
  15. JamiiForums Tanzania Clouds 360: Mahojiano na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, akifafanua mambo mbalimbali

    "Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala". "Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki. Tuna bahati ya kuwa na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tuko mbioni kuanzisha Televisheni ya Serikali itakayorusha Habari za Maendeleo tu

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali. Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa. Chanzo: Clouds tv
  17. JamiiForums Tanzania Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mawaziri wakiongea hawatofautiani na viongozi wa vyuo vikuu kwa hoja za kitoto

    Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango. Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
  19. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ndio chanzo cha uozo katika Serikali hii

    Habari! Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote. Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Posho za watumishi zilizofutwa na Serikali ni zipi?

    Jana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley: Swali: Mnataka wananchi wafunge mikanda lakini nyinyi viongozi hamuonekani kufunga mkanda" Jibu: "Kutokana na serikali kuwa serious na swala la kubana matumizi imefuta posho zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…