Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.
Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.
Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu...
Amesikika mheshimiwa SSH jana akiongelea tozo za miamala na bei za mbolea. Akijinasibu kuwa huko ndiko kusikia kwa serikali yake sikivu.
Ikumbukwe kuwa za moto zaidi kwenye ajenda zimekuwa:
1. Ongezeko la kodi na tozo mbalimbali.
2. Vita dhidi ya Corona ikiwamo chanjo na tahadhari husika.
3...
Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni.
Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena...
Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki
Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
Kwa sasa Dunia nzima inahangaika juu ya vijana wengi kukosa ajira. Juzi nchi jirani iliamua kuwagawia vijana wasiokuwa na ajira chakula, lakini walisahau kuwa shida yao si chakula bali, ni nini kitawapatia chakula endelevu? Na vijana wale walikataa kile chakula na huku wakiendelea kuhitaji...
Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini.
Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na kibaradhuli.
1. Tozo ya Miamala
2. Tozo ya simu ya mshikamano (yaani maskini waendelee kushikamana katika...
Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu...
Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo...
Tutazidi kusindikiza kwenye uchumi na kutengeneza wanafiki wa Taifa kupitia mfumo wa serikali tulioasisi awamu ya Tano. Yupo kiongozi wa Dini amediriki kutamka adharani kwamba tunakosa viongozi wenye maono, naomba niseme siyo wenye maono tu Bali wenye nguvu yakupanbana kwa hoja.
Kenya awapo...
Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo.
Hayo yalibainishwa jijini...
Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process kisayansi inaitwa Kwepability. Hata taratibu za kujikinga na Corona zimesema tusikusanyike bila ulazima...
Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
afya
corona
covid
covid 19
gwajima
kipindi
kuepuka
kusambaza
mbio
mbio za mwenge
mikusanyiko
mwenge
mwenge wa uhuru
serikali
vita
waziri
waziri wa afya
Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao.
Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali.
Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza kuitetea Serikali huku wananchi wake anawasaliti hapo anakuwa amevunja haki zake na kuusahau wajibu wake.
Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima.
Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako.
Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au...
NGUVU YANGU NI SERIKALI, NA MIMI NDIYO SERIKALI YENYEWE!
Nilipokuwa mdogo, sikuwa natambua umuhimu, ama kazi za koki ya bomba la maji kwasababu mara zote niliona mabomba hususani sehemu za umma yakitiririsha maji lakini maji hayo yalidhibitiwa kwa vitu vingine tofauti kabisa na koki, ambapo...
Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha.
Huyu mtu anarudisha juhudi za...
KODI (ushuru) ni malipo ambayo kila mtu mwenye shughuli za kuingiza kipato anatozwa na serikali kulingana na kipato chake. Hivyo kodi ni chanzo cha mapato ya serikali ambayo hutumika kugharamia huduma za jamii zinazotolewa na serikali kama ujenzi wa miundombinu, ujenzi wa mahospitali, shule...
SHAKA: KAULI ZA MBATIA ZIMEKUSUDIA KUWACHOCHEA WANANCHI NA KUWAGOMBANISHA NA SERIKALI.
NDUGU: SHAKA HAMDU SHAKA; MNEC & KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema matamshi ya Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI James Francis Mbatia aliyedai Rais Samia Saluhu Hassan kuwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.