serikali

  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
  2. Man from cuba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishe hardship allowances kwa Walimu wanaofundisha Vijijini

    Waziri mpya wa TAMISEMI na Waziri mpya wa Elimu wanatakiwa kulichukulia kwa uzito suala la walimu wanaofundisha vijijini kwa kuwapa motisha mbalimbali ili maombi ya uhamisho wa walimu ipungue. Imekuwa mtihani mkubwa kwa watumishi hawa wa elimu kukaa vijijini ambako huduma...
  3. Bikis

    JamiiForums Tanzania Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Wasalaam kutoka Ngorongoro. JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali... Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabeyo: Jeshi libuni miradi kuisaidia Serikali

    MKUU wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo amevitaka vikosi vya jeshi kutumia wataalamu wa ndani kubuni miradi ya kimkakati na kuhimiza uadilifu kwenye miradi iliyokamilika. Mabeyo alisema hayo wakati wa kuzindua kituo cha mafuta cha R971 kilichojengwa na jeshi eneo la Ihumwa. Alisema jeshi kama...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Serikali yakanusha uwepo wa jaribio la mapinduzi

    Burkina Faso: Milio mikubwa ya bunduki yarindima kwenye kambi kadhaa za jeshi Burkina Faso Ouagadougou Unruhen Milio mizito ya bunduki ilisikika kwenye kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou mapema leo asubuhi. Huduma za mtandao wa simu zimepungua kasi kuanzia Jumapili...
  6. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ACT - Wazalendo kuunga mkono Serikali, acha leo niteme nyongo

    (Tunafanya Siasa tusiyoijua) Nimeona na kusoma sehemu kadhaa makada na mashabiki wa chama cha Chadema wakilaani taarifa inayokinasibu chama cha ACT wazalendo kuunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo. Na niliiona nongwa hii tangu siku ya sherehe za mapinduzi...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Bungeni Mswada wa kurudisha Uchifu

    Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
  9. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nini kifanyike Shule za Serikali zifanye vizuri

    Hello JF, Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, haya mambo ya kupotea watu ni doa kwenye serikali yako

    Mheshimiwa Rais, naomba nichukue nafasi hii nikupongeze kwa mambo mengi mazuri unayoyafanya ila kwa hili la watu kuanza kupotea kwenye utawala wako tayari ni doa kwenye serikali yako. Wiki mbili zilizopita kuna habari zimetokea magazeti kuwa kuna vijana watano wamepotea wakiwa wanaenda...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa serikali wanapowajibishwa, na misingi ya kidemokrasia inapoheshimiwa kuna uwezekano mkubwa wa huduma za umma kuboreshwa

    Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008: 20-21). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja zao...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zilipigwa Nuclear Bombs na bado zilisimama, msikate tamaa!

    Hata wajaribu kubomoa vipi bado Tanzania itabakia na tutakuwa na muda wa kuijenga upya, mifano ipo mingi Duniani, kuna nchi zilipigwa mabomu na kuna majivu wakajipanga wakaokota tofali kwa tofali na kujenga upya leo hii ni nchi tajiri kila mtu anapenda kwenda kuishi huko. Hivyo hakuna kukata...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 200,000 wanaoishi na VVU hawatambui hali za Afya zao

    Dar es Salaam. Mchakato wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema itaitumia ili kupunguza maambukizi mapya na kufikia malengo ya milenia mwaka 2030. Pamoja na hayo Wizara imesema inakusudia kupunguza idadi ya watoto...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakayekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania

    Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
  15. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita inaendeleza tabia ya kuitenga mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini

    Salamu kwenu. Naona viongozi wa awamu ya 6 wanaendelea na tabia ya kuitenga mikoa ya Kusini kwenye maeneo mengi tu. Chief Hangaya yeye amejikita Dodoma, Kanda ya Ziwa, Dar, Kanda ya Kaskazini na Zanzibar. Mwisho wa mwaka Rais alikuwa awe mgeni Rasmi Siku ya Ukimwi Duniani na hakuja, hakuna...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anatunzwa na Serikali maisha yake yote halafu bado anataka kula kwa urefu wa kamba yake

    Serikali imeweka mafao makubwa serikalini, bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao? Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hasa?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

    Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa! Kila ishara inaonyesha hii kesi haina merit to affirm a...
  18. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikalini inasema haikuchoma soko la Karume huku ripoti ya tume haijatoka?

    Soko la Karume limeungua na Serikali imeunda tume na imetoa siku 14 tume itoe majibu ya uchunguzi wake. Kabla ya tume kutoa majibu tayari tumeanza kusikia Serikali ikikana kuhusika kuchoma moto. Kama haitoshi tumeanza kusikia eti mateja ndio wamechoma moto. Je, kwanini Serikali inasema...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia iachane na Uhandisi Jamii unoendelea kwani unamharibia taswira yake kwa kiwango kikubwa

    Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time". Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye matengenezo. Yapo masoko mengine ambayo yamechomwa moto yote na kutekeketea kama lile soko maarufu ya...
  20. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
Back
Top Bottom