Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali?
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
Na. Sifael Essau Mpollo.
Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
akaunti
ccm
chama
jifunze
kazi
kugharamia
maana
matibabu
nyingine
prof. jay
rais
rais samia
samia
serikaliserikali ya ccm
ummy mwalimu
upinzani
vijana
wajinga
watanzania
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika...
Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote.
Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na Rais au Waziri Mkuu amabaye atakuwa kiongozi wa taifa letu, ila atakaewajibika chini ya Bunge...
Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari.
Muda mwingine hata...
Waziri wa Sheria Nchini humo, Francisco Queiroz amesema ndani ya miaka mitatu iliyopita Serikali imerejesha Mali na Fedha zinazofikia Dola za Marekani Bilioni 11.5 zilizoibiwa kutoka Serikalini na kufichwa katika Mataifa mbalimbali yakiwemo Uswisi, Uingereza na Singapore.
Baada ya kuingia...
Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na...
Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape.
"Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
SERIKALI ya Zanzibar imetoa bei elekezi ya sukari baada ya kuwapo kwa viashiria vya baadhi ya wafanyabishara kutaka kupandisha bei ya bidhaa hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaban, alibainisha kuwa kilo moja ya...
Teknolojia ya njia za pesa inazidi kuwa kubwa na leo sasa ni cryptocurrency.
Cryptocurrency ni mfumo wa mzuri sana ambao pesa yako aina control na benki wala serikali yako.
Cryptocurrency unaweza kwenda nchi yoyote na kutoa pesa sehemu yoyote.
Cryptocurrency huwezi ku trace miamala ya...
Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo Fulani.
Musukuma kwa kupitia Kamati inayohusika na zabuni angeweza kuzuia kile alichodai ni matumizi...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeipiga marufuku Linkee kutoa huduma ya taxi-mtandao kwa maelezo kuwa haina leseni ya kutoa huduma hiyo.
Aidha, mamlaka hiyo imewaonya madereva watakaotumia huduma hiyo, huku pia wananchi wakiaswa kutoutumia.
Serikali imevunja vibanda vya wafanyabiashara wadogo waliokuwa wanafanya biashara hizo katika stendi ya Kawe. Hali ya kushangaza mabanda hayo yamevunjwa usiku na kwa sasa polisi wanaranda kuona kama kuna ghasia yoyote kutokana na tukio hilo
Japo kuna raia walioathiriwa na tukio hilo kwa vitu...
Wakati tunaiona serikali ya awamu ya tano tulikua na picha halisi ya wapi tunaelekea kama Taifa.
Malengo ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda.
Ili kutimiza lengo hilo swala la Nishati likawa na Umuhimu wake.
Kupata nishati ya uhakika mradi ya Stiglers Gorge / nyerere...
Habari wadau...
Neno hilo limekuwa likitumika tangia zamani hasa kwa wale wenye mke zaidi ya mmoja. Mke wa kwanza kuolewa na mwanaume fulani amekuwa akitambulika kama mke mkubwa au NYUMBA KUBWA kisha atakayefuata kuolewa na mwannaume huyohuyo basi amekuwa akitambulika kama mke mdogo au NYUMBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.