Taratibu tutaelewana?
Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.
Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka...
Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali.
Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi.
Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
PART 1.
MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU.
MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE?
MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI.
Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?,
mnatuchuliaje WALIMU...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa kama chambo katika kuomba, ni mkakati upi wa Serikali katika kuwasaidia watu hawa kujikwamua...
Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika.
Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani.
Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
Kama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT)
Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara
Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya,
Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza...
Kwa muda sasa mji Mkuu wa Sudan, Kahrtoum umegeuka uwanja wa vita ukishuhudi mapigano makali ya kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo nchini humo ambapo miundombinu imeharibiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Mshike mshike wa nchi mbalimbali kuwaondoa raia wake nchini Sudan unaendelea huku nchi za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
ajabu
akutana
baada
hii
kongole
kuona
kupata
matatizo
matibabu
mtoto
ngozi
rais
rais samia
samia
samia hassan suluhu
sana
serikali
upendo
video
zaidi ya
zuhura yunus
Habari wana jf.
Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu.
Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao na kunyima haki na kuonewa na kuchukuliwa kama watu wa shida na kila kiongozi.
Kuna haja serikali...
Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe hasara na upotevu wa mali za Serikali zenye thamani ya Bilioni 19.7.
Hii inakuwa ni kashfa nyingine...
Jambo Jambo?
Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotawaliwa na wabunge wa CCM, huwa linanishangaza kiasi kwenye uchagiaji wa upitishajishwaji wa bajeti za wizara kadha wa kadha za mwaka husika.
Mbunge anaweza akasimama na kuikosoa serikali vilivyo akatoa “point” za maana mpaka...
Ni matumaini yangu kwamba sote tuko poa. Kwa wale ambao wana changoto tunawaombea kwa Mola Mkuu awatatulie shida zao. Moja kwa moja kwenye jambo husika.
Kupata job serikalini sio shughuli ndogo. Mbaya zaidi hilo ndio kimbilio na tumaini kwa vijana wengi. Pitia jukwaa la ajira na tenda utapata...
Kampuni ya Tembo Nickel imelipa zaidi ya Shilingi Bilioni 6.7 mwaka jana ikiwa ni kodi ya leseni za kuendesha kampuni hiyo.
Meneja Mkuu wa Tembo Nickel, Manny Ramos amesema kampuni hiyo pia ilitumia zaidi ya Sh bilioni 18.5 katika manunuzi ya vifaa na bidhaa mbalimbali. Kati ya kiasi hicho, Sh...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Dkt. Dugange amesema...
Agizo la Waziri linafuatia chapisho la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) lililoeleza mwananchi mwenye miaka 28 aliyekunywa chupa 5 za Kinywaji hicho na baada ya saa 4 akaanza kupata maumivu Kifuani kwa muda saa 8 mfululizo.
Baada ya kupelekwa Hospitali na kufanya vipimo, alibainika...
Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.
Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo.
Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
Serikali mko na la kujibu kwa Mwenyezi Mungu. Ardhi tumeikuta ila mnaimiliki wakati kuna Watanzania hawana hata heka moja, nyie mnamiliki kama mliiumba wenyewe.
Halafu tabia za kupangiana matumizi sio haki kabisa kwa upande wa huduma za mitandao ya simu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.