Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
Mtaa wa Mwenge umegawanyika katika mitaa miwili ndani ya kata ya Kijitonyama, wilaya ya Kinondoni . Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwenye kata ya Kijitonyama kuna mitaa miwili ya Mwenge. Mwenge Kijijini na Mwenge Nzasa.
Lakini Mwenge Kijijini tangu mwaka 1974 kuna lami barabara zote, Mwenge Nzasa...
Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa Soka nchini itamlipa mshahara mwalimu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Adel Amrouche ambaye ni raia...
KUNA mambo yanafanyika nchi ambayo unaweza kuyakuta katika Banana Republic tu au "nchi ya kusadikika" isiyojali wala kuzingatia haki na misingi ya kisheria.
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiagiza wavamizi wa ardhi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa KIA mkoani Kilimanjaro walipwe fidia Ili...
Serikali imejaa ujanja yaani unataka msomi wa degree umgeuze msukule eti awe mchuuzi?
Hizi rasilimali tulizonazo zinabidi. Kulisaidia Taifa kwa watu wote .
Hizo Kazi za bodaboda wapeni watoto wenu huko CCM wavunjike Miguu wawe walemavu wapate Tb n.k yaani hamna Huruma Wala utu.
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia...
Dunia inaendelea kupiga hatua za kimaendeleo ikichagizwa na ukuwaji wa sayansi na teknolojia, ukuwaji huu unaenda sambamba na kuongezeka kwa tabia au mfumo mbaya ambao unaenda kuvunja na kuharibu kabisa tamaduni za Afrika lakini pia hata sheria za dini tofauti.
Maendeleo haya ya teknolojia bado...
Habari za muda wanajamvi.
Naomba nitangulize shukrani kubwa sana kwa wanajamvi wote wa jamiiforums. Kiukweli, kimekuwa chombo kikubwa kilichosheheni vingi na kutosheleza kila idara.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni majuzi nilikuwa na rafiki yangu tunazungumzia kazi serikalini...
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inawajali sana wananchi wake kupitia utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa Bomba la mafuta la Tanzania na Uganda Serikali ya Rais Samia Suluhu imetoa Kiasi cha shilingi...
Kuelekea maadhimisho ya Miaka Miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi katika kata za Ubungo, Tandale, Manzese, Kijitonyama, Sinza Ndugumbi, Mwananyamala na Makumbusho katika Halmashauri za Manispaa ya Ubungo na Kinondoni zinazopitiwa na...
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko.
N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
Habari zenu
Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao.
Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi...
Mikopo inayotolewa kwa sekta binafsi imezidi kuongezeka kutoka 7.8% mwaka 2021 hadi 22.5% mwaka 2022 pia imeongezeka zaidi hadi kufikia january 2023 imefikia 23.1%. Hii inaashiria kuimarika kwa uchumi na utendaji wa sekta binafsi unaochagizwa na sera bora za serikali ya Rais Samia Suluhu...
Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya...
👤hatua gani imechukuliwa kwa askari huyu aliyevujisha video chafu na kuridharirisha Taifa , kibaya zaidi ni kiongozi wa serikali.
👤 Tunaomba ufafanunuzi, Amber Ruty na mmewe walifungwa kwa kosa kama ili la askari alolifanya .
Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja.
Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi.
Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC)...
Tumeyasikia Ugiriki:
Waziri mhusika wa usafirishaji wa serikali ya huko amejiuzulu. Ma stesheni master wamekamatwa.
Nini kiwafanye wenye dhamana kwetu kuwajibika?
Ndiyo maana watu watatekwa, pesa zitaibiwa, ajali zitatokea, nk, yaani mambo shaghala bagala. Uwajibikaji au matumaini ya...
Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo
RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo
Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.