serikali

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ianze kuanda viongozi watakaounda serikali maana njia ni nyeupe kuchukua dola kwa njia ya box la kura

    CHADEMA ianze kuandaa mkakati wa kuandaa viongozi ambao watakuja kuwatikia wananchi wa Tanganyika na kulinda rasilimali za Watanganyika. Vita vya namna yoyote ile huwa vinapiganwa in the field not on desk. Kwenye field sasa hivi Chadema ni chama cha ukombozi na wananchi wanataka kikae...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

    Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo. Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Sospeter Mtwale: Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla. Bw...
  4. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Serikali itolee ufafanuzi suala la Fedha za Kujikimu kwa Watumishi Wapya

    Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa. Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana. Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo...
  5. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kuwafidia waathirika wa maandamano ya Gen Z ya Juni 2024

    Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29. Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake. ======================== Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  7. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu wanaojifanya wasemaji wa serikali

    Habari za hasubuhi. Tanzania kuna changamoto ya watu ambao hawana nyazifa ya usemaji lakini wao wanahisi kwa sababu wanatetea chama cha mapinduzi au serikali basi wako tayri kusema lolote wanalojisikia na kusemea jambo lolote. Ikitokea mtu akadaiwa kutekwa unakuta kwenye media wanatolea...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rio asilaumiwe sana kuja Tanzania kwa mgongo wa serikali

    Ukifuatilia utagundua ni nadra au haiwezekani wadau na mastaa wa michezo hasa wa mpira wa miguu kujitenga na utawala au watawala wowote wale hata wawe madikteta katili kiasi gani. Sijajua sababu ya jambo hili ni nini ila kwa kiasi kikubwa mpira wa miguu una mafungamano makubwa sana na watawala...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Nitagombea Urais 2030, nitaleta Sheria ya kunyonga Watu kupambana na Rushwa

    "Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri. Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
  10. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Sio afya kwa serikali, Jeshi letu la Polisi linapotiliwa mashaka

    Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu. Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

    Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria. Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini. Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria. Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini. Pili...
  13. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Mafwele nakukumbusha tu, hao CCM na Serikali watakupoteza muda ukifika

    Kwa sasa utaenjoy kuskia sauti za unaowaua wakiwa wanalia kuomba usiwauwe na unawaua! Amini nakuambia watu dhalimu kama wewe huwa hawafi mapema! Mungu huwa anawaacha ili watumikie dhambi zao hapa hapa duniani! Nakukumbusha tu CCM wakishamaliza episode hii basi utapukutika! America pia hawako...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand ashutumiwa Kwa kukubali kutumia michezo kuitakasa serikali dhalimu

    Former England and Manchester United footballer Rio Ferdinand was widely criticised for a May 2026 trip to Tanzania, with campaigners accusing him of "sportswashing" for the government. [1] The backlash centers on the following specifics: The Host: Ferdinand's visit was hosted by Tanzania's...
  15. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Ni kweli serikali haigharamii chochote mtu maarufu kama Fernandez akija nchini?

    Kwanza kabisa mimi sioni umuhimu wa mstaafu wa soka kuja nchini kwetu nakumpaisha hivyo halafu kwenye account zake haoneshi yupo Tanzania licha ya kupewa air time za kutosha. Pia nimesikia hawa watu wakija serikali ni protocol tu lakini gharama haitoi serikali sijajua anatoa nani? Mtu mweyewe...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ulega: Nimepokea simu kutoka kwa Bibi wa Miaka 70, anapongeza Serikali kwa kukamilisha Daraja la JP Magufuli

    Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi. Shuhuda za...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  18. Dream Touch

    JamiiForums Tanzania Acheni kuichambua Serikali kwa mrengo wa Demokrasia

    Madeleka, warioba, Heche, Mwabukusi nk mnaochambua siasa za Tanzania huku mkionesha kuwa katika taifa la kidemokrasia serikali, vyombo vya Dola na bunge linapaswa,lilipaswa kufanya hiki au kile kwa Hali ilivyo sasa kwa maoni yangu mnakosea sana. Kwa sababu ninyi ndio mnaotumika kuifahamisha...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali kuzima Sites za Movie na Mpira bure? Wananchi wa kawaida wabaki kulia

    Wananchi wengi hasa vijana wamepokea kwa huzuni taarifa ya serikali kuanza msako mkali dhidi ya websites zinazotoa movie, series na mechi za mpira bure kama Goojara na nyinginezo. Serikali inasema hatua hiyo inalenga kupambana na piracy na kulinda sekta ya ubunifu nchini. Lakini kwa mwananchi...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Transport Operators Suspend Nationwide Strike for 7 Days to Allow Talks With Serikali

    Baada ya mazungumzo yaliyofanyika Harambee House, transport operators wamekubali kusimamisha nationwide strike kwa muda wa siku saba ili kuipa serikali nafasi ya kufanya consultations zaidi kuhusu fuel prices na changamoto zinazokumba sekta ya usafiri. Meeting hiyo iliongozwa na Interior CS...
Back
Top Bottom