serikali

  1. H

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  2. H

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  3. Chakaza

    Jee Serikali Yaweza Kufungua Shirika la Kuuza Bangi na Mirungi Kwavile Wao wana Kinga? Mbona Inatoa Hadharani Taarifa Binafsi Bila Kibali cha Mahakama

    Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
  4. The Palm Beach

    Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  5. S

    Tetesi: Je nitalipwa fidia kwenye eneo langu ambalo serikali imekusudia kupitisha Barbara na Mimi nataka kujenga?

    Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu. Leo wanaJf nimekuja na hili.Hapo zamani nilinunua kiwanja huko Dodoma Squaremita 453 .Nikaondoka muda...
  6. Adharusi

    Serikali iliwezaje kutoa ajira za ualimu kwa watu wasio walimu na kuwaacha waliosomea ualimu, pachunguzwe

    Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata...
  7. M

    ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
  8. Candela

    Gari ya serikali tinted ya nini?

    Hii suala kifike mahali likome, gari ya umma inaweka tinted ya nini?
  9. Mwalimu Mkuu

    Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
  10. A

    DOKEZO Serikali ifatilie Uwekezaji TFS na iundwe tume maalum, kuna mazingira ya upigaji, uonevu

    Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Mama Samia kutaka uhifadhi uwe sehemu ya utalii Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umekuwa sehemu ya kupuuza maagizo ya serikali, viongozi, kusababisha migogoro na kituo cha unyanyasaji wawekezaji katika mashamba ya Miti na Misitu pamoja na jamii...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Serikali inasubiri nini kumfukuza kazi daktari aliyempiga Trafiki?

    Nchi hii ina wasomi wengi sasa. Zamani ukiwa Daktari au Daktari bingwa unaweza kuchagua uajiriwe na taasisi gani na unaweza kuwaringia kuwa kazi utaanza muda unaoutaka wewe. Nakumbuka zamani ukiwa na degree ya afya ukiingia tu JWTZ moja kwa moja unaenda kwenye kozi ya uafisa Monduli na...
  12. R

    Meena: Kwanini Serikali inapokamata wezi wa fedha inawapeleka Mahakamani, lakini kwa Waandishi wa habari inageuka kuwa mkamataji na mtoa hukumu?

    Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania Septemba 08, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amehoji utaratibu unaotumika kufungia vyombo vya habari ambapo ametaja kufungiwa kwa Gazeti la MwanaHALISI. "Kwamba kwa nini serikali inapokamata wezi wa fedha huwa...
  13. Jidu La Mabambasi

    Prof. Elgidius Ichumbaki: CCM imeshindwa kuisimamia Serikali! Wassira ajibu kwa porojo.

    https://www.facebook.com/share/v/19BrKdjimT/ Kuna clip inatembea ikimwonyesha Prof Ichumbaki akieleza kile wananchi wengi wamekuwa wakisema , kuwa CCM ya sasa imeshindwa kuisimamia Serikali, na Serikali inafanya mambo kinyume na matakwa ya wananchi. This is serious. CCM sasa ni Idara ya...
  14. Kijakazi

    Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
  15. K

    Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  16. Mhaya

    Faida na Hasara endapo muundo wa Serikali utabadilika (ZNZ Vs TNG)

    WanaJF, tuweke kwanza hisia za kisiasa pembeni, tuangalie hili suala kwa jicho la uchumi, utawala, matumizi ya Serikali, ulinzi, rasilimali na mustakabali wa Taifa. Kimsingi kuna mifumo miwili ambayo inaweza kujadiliwa: 1. Zanzibar kuwa sehemu ya Tanzania kama mkoa Hapa tungekuwa na Serikali...
  17. M

    Bodi ya mikopo ya juu lipeni refund za wateja wenu,acheni ufisadi ,mnaichafua serikali .

    Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB, Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika...
  18. R

    Neville Meena: Watu wa serikali wajifunze kuheshimu kazi za waandishi wa Habari, sisi tumesomea hii kazi

    Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ameeleza kuwa udhibiti mkubwa wa Serikali kupitia taasisi zake...
  19. S

    Mwigulu aje hapa akanushe kuwa Lissu alipopigwa risasi Magufuli hakumwambia atangaze serikali haihusiki akakataa kufanya hivyo na Magufuli akamchukia!

    Nimeshangaa sana kuona leo hii Mwigulu Nchemba anasema waliompiga risasi Lissu walifanya hivyo ili ionekane serikali ilihusika. Niwaambie ukweli wa siku ya tukio la Lissu kupigwa risasi. Wakati huo Mwigulu Nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Mara tu baada ya Lissu kujeruhiwa kwa risasi...
  20. M

    Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
Back
Top Bottom