serikali

  1. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kwenye mahafali wageni waalikwa sio watu waliofanikiwa bali watu wa siasa/watu wa Serikali tu?

    Wakuu Habari zenu? Kuna kitu hapa kwa wageni wahalikwa kwenye mahafali ya wanafunzi wa kumaliza chuo kikuu au shule hizi za secondary. Hivi ni kwa nini wasialikwe watu waliofanikiwa kimaisha ili waongee na wanafunzi hao na badala yake mnawaalika wanasiasa na wakuu wa mikoa kuja kutoa hotuba...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

    Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni. Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus...
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Serikali iuenzi Mziki wa Dansi wa zilipendwa wa Tanzania kuwa urithi wa Taifa

    Wizara ya Sanaa, tamaduni na michezo. Hivi mna mawazo Gani kuenzi na kutambua mchango wa mziki wa Dansi na watunzi wake? Kwa ujumla Muziki wa zamani umechangia sana kukuza utamaduni wa kitanzania na lugha ya kiswahili lakini sijawahi kusikia mikakati ya wizara kuenzi na kutambua mchango wa...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Gawio la Tsh. Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali

    Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali. Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitumia vigezo gani kuzuia na kuharamisha hizi biashara

    Serikali ilizingatia vigezo gani kuzuia na kuzifanya jinai biashara za mirungi, bangi na ukahaba huku ikiruhusu biashara za sigara/tumbaku, pombe, nutmeg/kungumanga na kamari?
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Umoja South Africa: Je Huu Ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa ANC?

    Ni lazima imekuwa hivyo. ANC haina option zaidi ya hiyo (ANC/DA coalition). Na hii inatokana na Conditions walizo zitoa MK na EFF ambazo ni ngumu kwa ANC kuzitekeleza. In fact, the EFF has shown it's willingness to co-govern with the ANC but has demanded the deputy presidency position in...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Serikali Haiwezi Kuendesha SGR Kwa Watanzania Tuliopo. Tujifunze Kutoka Kwenye Mwendokasi

    Mbona barabarani kuna makampuni kibao, Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi. Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ANC na DA kuunda Serikali ya Kitaifa Afrika Kusini

    Dalili za Chama Cha ANC kuunda serikali pamoja na DA zimethibitishwa rasmi. Ni pale ambapo kwenye uchaguzi wa Spika wa Bunge la SA DA haikuweka mgombea na hivyo Spika akatoka kwenye Chama Cha ANC akiitwa Thoko Didizo. Pia Chama Cha DA ambacho ndio Chama kikuu Cha upinzani SA kimeshindwa kiti...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

    Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi. Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au...
  10. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nishati Safi ya Kupikia Iwe Dhana Mtambuka kwa Idara zote za Serikali

    Utangulizi Ni ukweli kuwa swala la nishati safi ya kupikia limekuwa linapigiwa chapuo kwa miaka mingi na serikali pamoja na wadau wengine mbalimbali, yaani watu binafsi na asasi za kiraia. Tangu utawala wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius K. Nyerere hadi sasa, swala la nishati safi limekuwa...
  11. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Kwanini Deni la Serikali limepaa kwa mwezi mmoja (Juni 2024) kwa zaidi ya Trilioni 17? Tatizo ni nini?

    Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu. MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Serikali tafuteni namna ya kutoa semina kwa wananchi juu ya kutambua wajibu wao.

    Nimeshaona kipindi cha upigaji kura kuna matangazo mengi kwenye vyombo vya kupashana habari,mitandao ya kijamii na kupitia mikutano ya kijiji inatoa semina kwa wananchi katika umuhimu wa upigaji kura,nimeona kelele za wanasiasa wakiwaambia wahitimu kuwa wajiajiri,nimeona makongamano mengi ya...
  13. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Sasa deni la serikali lifikika Tril. 100 itakuaje

    Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25 Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7 Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi LET'S GO
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  16. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali. Hoja za Kushiriki 1...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema Tsh. Bilioni 93 zimetolewa Singida kwa ajili ya uwekaji wa Taa, Barabara na Madaraja

    Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi ya uwekaji taa za barabarani, Ujenzi na matengenezo ya Barabara, Pamoja na ujenzi wa madaraja. Kiasi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuwavuruga vijana ni kujiharibia kwa CCM na Serikali yake

    Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM. Nimeamua kwa makusudi kuwakumbusha viongozi wa serikali na chama kuacha kuendelea kuwavuruga vijana wa...
  19. karmaa Son

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mradi wa serikali na ukombozi wa vijana (mseuvija)

    Ni ukweli usiopingika kwamba katika maendeleo ya nchi yeyote basi rasilimali watu ndio mhimili mkuu kwasababu wao ndio huwezesha kitu kinaitwa human capital kama ilivyotambulishwa na Theodore W. Schultz (1961) ambao ndio msingi a maendeleo katika Nyanja zote za siasa, uchumi, teknolojia, na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamechanyikiwa baada ya serikali kuombwa kufungia mtandao wa X?

    Nimekuwa najiuliza sana lkn sipati majibu kwanini watu wanalalamika sana kusikia mtandao wa x utafungiwa nchini Tanzania, vyama vya siasa tayari vimeshaanza kutoa statements vikidai ni kuminya uhuru wa kutoa maoni. Uhuru gani wa kumtukana kiongozi wa nchi? Uhuru gani wa kuhamasisha violent...
Back
Top Bottom