serikali

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Serikali itatunga Kanuni za kushughulikia migogoro Wamiliki wa Leseni na wenye maduara

    Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
  2. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Idara, Taasisi na Wizara za Serikali ya Tanzania

    Orodha ya Taasisi Wizara, Idara na Wakala [ 326 ] Taasisi [ 36 ] Mifuko [ 14 ] Mfuko wa Pensheni [ 0 ] Wizara [ 26 ] Idara Zinazojitegemea [ 42 ] Mfuko wa Barabara [ 0 ] Mamlaka [ 56 ] Wakala [ 35 ] Bodi [ 40 ] Mabaraza [ 23 ] Tume [ 24 ] Kampuni [ 9 ] Mashirika ya Umma [ 21 ] Namba...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Idara maalumu za Serikali zishirikishwe kuboresha mfumo utoaji maoni yanayowasilishwa na wasomaji hapa JF

    Wadau hamjamboni nyote? Haya ni maoni yangu binafsi kabisa lengo ni kuweka utaratibu ulio bora zaidi wa utoaji maoni kulingana na mada mbalimbali zinazowasilishwa jukwaani Idara maalumu za Serikali yetu zina uzoefu na weledi mkubwa hivyo naomba zitumiwe kikamilifu kutathimi kwa njia ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa serikali wanatumia njia za mkato kufanikisha uhamisho? Hili ni jibu langu binafsi

    Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
  5. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Ajali ilyoua RAS wa Kilimanjaro na Dereva wake: Kwanini serikali inamlilia RAS tu je Dereva hakuwa mtumishi wake?

    Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kila nikifungua mitandao ya kijamii ni habari mbaya tu za Serikali

    Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu. Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike. Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu. Kura yangu inaniuma...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ukiona hadi mafisadi wanaikosoa serikali lazima uogope

    Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini. Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini. Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake. Ukiona watu km hawa...
  8. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zainab Katimba: Serikali Kurejesha Mawasiliano Maeneo Yaliyoathiriwa na Mvua

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inafanya jitihada za kuhakikisha inarejesha mawasiliano katika maeneo ambayo miundombinu ya barabara imekatika kutokana na athari za mvua hasa katika barabara za wilaya ili kuhakikisha barabara hizo zinapitika. Mhe. Katima...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafurahishwa kuanzishwa kwa kampuni ya bima ya ‘CRDB Insurance Company’

    Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamaja (katikati) akifurahia uzinduzi rasmi wa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB inayotoa huduma za bima ‘CRDB Insurance Company (CIC) Ltd’ katika hafla iliyofanyika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam 18 Juni 2024...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  13. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina alicheza kama Pele hasa bunge linavyoipakata Serikali

    Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo; Jukumu la Serikali Kutoa Kipaumbele kwa Maendeleo ya Vijijini

    Jukumu la Serikali Kutoa Kipaumbele kwa Maendeleo ya Vijijini Katika nchi yangu ya Tanzania, kuna hali inayozidi kuonekana ambapo serikali inatoa kipaumbele zaidi kwa maeneo ya mijini kuliko vijijini. Hii ni hali inayotia wasiwasi kwa sababu vijijini ndiko kunakotegemewa zaidi kwa maendeleo ya...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Spika wewe ni kiongozi wa Mhimili wa Bunge, iache Serikali ijipambanie yenyewe sakata la sukari

    Katika hili sakata, 1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya bunge katika suala la upungufu wa sukari na mchakato mzima uliofutia wa manunuzi ya sukari ya ziada...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imewasikiliza Wakenya. Sisi tunajadili Mwijaku na Masoud Kipanya

    Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa. Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
  17. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Serikali na Dijitali

    Serikali inaendana na wakati huu wa kisasa wakati wa dijitali haileti picha nzuri kama mwananchi una amua kubaki nyuma kushikilia habari za ukitaka kufahamu kitu basi uchome nauli kwenda kuuliza ilipo huduma flani au bidhaa flani ili kujilizisha Mimi nnacho fahamu kidogo ni kwamba mungu...
  18. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi mlioko mtaani, elezeni vilio vyenu kupitia uchaguzi serikali za mitaa 2024

    Katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa vijana chagueni viongozi watakaojua kuwa mko mtaani na mnachangamoto nyingi. Nawasilisha.
  20. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
Back
Top Bottom