serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imesikiliza maoni ya wananchi inapoikubalia Kampuni ya MOFAT ombi LATRA kuziondoa Daladala Mbagala?

    Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo na taasisi kubwa msije shangaa sio mali ya serikali wala mnawatagemea kuwa ni mihimili

    Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi. Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza kufanya mauwaji na utekaji mkubwa ndani ya mfumo kuhisi kuna kuvuja. Ila tambueni mtoto kama...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yaja na mpango wa miaka 10 ujenzi wa bandari kavu mitaani

    Kutokana na ongezeko la mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, Serikali imekuja na mpango wa miaka 10 kuanzia Julai 2026 kwa ajili ya kupanua maeneo ya kuhifadhi mizigo kwa ujenzi wa bandari kavu (ICD) mitaani. Hayyo yameelezwa Juni 16, 2026 na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura...
  4. JamiiForums Tanzania Elias Malima: Kudhibiti uvunaji haramu wa misitu, Serikali iongeze Watumishi wa kusimamia

    Utangulizi Baada ya kuangazia ukubwa wa tatizo, vyanzo, na athari za ukataji miti hovyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kupitia makala mbili zilizopita, sehemu hii ya tatu na ya mwisho inajikita katika kuchambua hatua za kuchukua ili kudhibiti hali hii. Hatua hizi ni muhimu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Serikali (ajira ya 2021 mwezi wa 7), tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja

    Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya Watanzania na ya Serikali yana tofauti kubwa sana

    Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kuelimishwa: Kwanini Namungo FC wanatumia gari la Serikali?

    Au ni team ya serikali?
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita, Imefeli Kusimamia Sekta ya Madini Chunya na Songwe

    Kwa masikitiko makubwa, wananchi na wachimbaji wadogo wa Wilaya za Chunya na Songwe wameendelea kulalamikia hali mbaya ya utendaji ndani ya ofisi za Tume ya Madini, ambapo vitendo vya rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka vinaonekana kuwa sehemu ya kawaida ya utendaji wa kila siku...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utaifa wa Tanganyika umeanza kukua kwa kasi, kuna hatari ya kuzuka mgogoro wa Kijamii, Serikali 3 ni sasa

    Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona. Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto...
  10. JamiiForums Tanzania Kama unaitetea hii serikali wewe ni mnufaika wa udhalimu

    Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya. Wasomi wamekuwa washenzi wakuliangamiza taifa kwa vipande vya pesa mbaya zaidi umri wao wengine umesha kwenda,nguvu ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Online hasa vya Serikali, Je usiri au Confidentiality, (information Protectionism ipo)

    Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini. Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!. Tumeweza ku develope emails na mengine...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027

    kwa mwaka2026/27 Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mchanganuo wa Matumizi ya Shilingi Trilioni 54.5 Waziri wa Fedha amefafanua kuwa kiasi hicho cha fedha kimetengwa kwa ajili ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imekopesha Machinga Tshs bilioni 18.5 2025/26, zitaongezwa Tshs. bilioni 10. 5 kwenye mikopo 2026/27.

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 Serikali pia imeanzisha Mfuko wa Machinga wa kuwezesha wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga, ambapo shilingi bilioni 18.5 zinaendelea...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Tshs bilioni 200 kuwawezesha Vijana Kiuchumi hadi Aprili 2026, Tshs 52.6 zimeshatolewa

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026...
  15. JamiiForums Tanzania Ada ya usajili wa pikipiki kuongezeka kutoka Shilingi 95,000 hadi Shilingi 150,000

    Serikali inapendekeza marekebisho ya Kodi na Ada za Pikipiki (Bodaboda) 2026/2027. Serikali imeamua kutowaingiza wafanyabiashara wa pikipiki (bodaboda) kwenye mfumo wa kodi ya makadirio (presumptive tax), kutokana na ugumu wa utekelezaji wake kwenye sekta hiyo. Badala ya kodi hiyo, Serikali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza ushuru kwenye magari ili kuongeza mapato na kupunguza uchafuzi wa mazingira

    Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema ..... Kuongeza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini kutoka asilimia 15 hadi asilimia 20 kwa magari yenye umri wa miaka nane...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inapendekeza kusamehe kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye vifaa vya kuchajia magari ya kutumia umeme

    Serikali imependekeza hatua kadhaa za kodi kwa mwaka wa fedha 2026/27 ili kuchochea matumizi ya nishati ya umeme na gesi asilia nchini. Hatua hizo ni pamoja na kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya vituo vya kuchaji magari ya umeme vinavyoingizwa nchini, kupunguza ushuru...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha anasoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo Juni 11, 2026

    Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa...
  19. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  20. JamiiForums Tanzania Nini mpango wa serikali kuthibiti hoja zenye kuleta mgawanyiko hasa kutoka kwa Zanzibar?

    Salama. Imekua too much sasa maana imefika hatua haiwezi kuvumilika hasa kauli za viongozi kutoka Zanzibar Mwanzo walisema wawafurushe watu wanaofanya kazi mahotelini ambao sio wazanzibar Leo tena kama sio mzanzibar hautatibiwa bure Sasa hizi kauli zisipothibitiwa zinaongeza uhasama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…