"Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn
John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
Hizi mia mbili zimekuwa nyingi na zinaonekana kama siyo halali, hapo kwenye clip kuna miambili original na feki, sasa feki ziko nyingi tunaomba serikali ifatilie hili maana zimezidi kuwa nyingi.
Feki unazitambua zina mlio kama hela za zaman zile shilingi ,ukizipiganisha na za sasa utaitambua tu...
Kwa kipindi kirefu sana, wananchi wa nchi pendwa ya kizalendo ya Tanzania walikuwa na malalamiko ambayo kwa sasa ni dhahiri inaonekana yamepata ufumbuzi kufuatia ukimya uliopo.
Yale malalamiko ya wananchi haswa kwa wabunge na madiwani wao yamepungua sana kiasi kwamba ni adimu kukutana na...
Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu;
1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga.
#Mahakama za bongo hazina...
Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli.
Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani
Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons...
Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga.
Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
Bibi Titi Mohamed na wenzake walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya uhaini ya kutaka kuipindua serikali ya Nyerere mwaka 1970.
Kwa nini amekuwa anaenziwa kwa kupewa Barabara yenye jina lake "Barabara ya bibi Titi" na pia kufanyiwa matamasha mbalimbali ya kukumbuka historia yake...
Kuna mambo yanaweza kuwaweka Serikali kwenye mtego kwa kila maamuzi yatakayofanyika kwenye kesi ya Tundu Lissu.
Kama Serikali itamfunga Tundu Lissu haya ndio yanaweza kukutana nayo:
1. External pressure, nchi za Ulaya zitazidi kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania kwa uzito mkubwa sana...
Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi
Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana.
Wanasiasa wakae mbali na biashara
Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku.
Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi.
Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni kwamba wanatafuta kampuni nyingine ndio inakua kama imekuajiri.
Yaani unafanya kazi kampuni A...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) imetoa mapendekezo kwa Serikali kutumia mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuangalia uwezekano wa kuondoa mahakamani kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ili kutoa nafasi...
Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za kata hii ni kudumaza vipaji vya watoto nchini na ni hujuma kwa maendeleo ya elimu nchini
Huwa...
Naandika hili kwa heshima kubwa kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Vijana kwa sababu ninaamini hili sio suala la udaku tena, bali ni suala la ustawi wa kizazi cha Tanzania.
Kati ya mwaka 2008 hadi 2016 tulishuhudia utamaduni wa magazeti ya udaku kutengeneza watu maarufu kupitia skendo...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
Baada ya agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Albert Chalamila, kutaka mabasi yote ya mkoa kuanzia na kumalizia safari zao katika Magufuli Bus Terminal, nadhani sasa ni muda muafaka kwa serikali kuangalia pia upande wa miundombinu ili agizo hilo liende sambamba na kurahisisha usafiri kwa...
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...