Habari wananzengo,
Tumesambaziwa barua na Chama cha Mapinduzi kutuomba kuchangia kuboresha zoezi la kulipa kura, lakini mie nahisi harufu na rushwa na kupigwa maana daftari ya kupiga kura inaboreshwa na Tume, iweje chama ndiyo kituletee barua.
Naomba kusaidiwa. OR TAMISEMI
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania mwaka 2019 ulikuwa tukio kubwa la kisiasa nchini, ambapo wananchi walichagua viongozi wa vijiji, mitaa, na vitongoji. Huu ulikuwa uchaguzi wa awali wa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Maandalizi na Uchaguzi
Uchaguzi huu ulifanyika tarehe 24 Novemba...
Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024.
Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
ccm
chadema
halisi
kuelekea 2025
kutoa
matokeo
matokeo ya uchaguzi
mitaa
mkuu
picha
serikaliserikalizamitaa
siasa tanzania
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi serikalimitaa
vijiji
Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa...
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika kipindi hiki ambacho nchi inajiandaa kwenda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kimejipanga kuvuruga uchaguzi lakini pia ionekane nchi haina demokrasia na haitawaliki.
Ni kama kwa muda mrefu wamekuwa wakiitafuta fursa hii...
https://www.youtube.com/watch?v=-XzJJFDbKNc
========
Kipenga cha uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, kitapulizwa leo Alhamisi, Agosti 15, 2024 wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa atapotoa tangazo la uchaguzi huo...
kuelekea 2025
serikaliserikalizamitaaserikalizamitaa 2024
tamisemi
tangazo la uchaguzi serikalizamitaa
uchaguzi mkuu
uchaguzi tamisemi
uchaguzi wa serikalizamitaa
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Itapendeza kama tutachagua viongozi wa vijiji, mitaa nk kwa kufuata elimu walau kidato cha nne
Nimeona wenye viti wa vitongoji na vijiji hawajui kusoma na kuandika na hata lugha ya kiswahili tu kwake ni shida
Nafikiri hii...
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...
Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni...
Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo kabisa huku kati ya ofisi zenye huduma hizo baadhi vyoo vyake hivipo katika hali ya...
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
chama
elimu
giza
haki ya kukosoa
katiba
kiboko
kukosoa serikali
kwani
macho
maradhi
sana
serikalizamitaa
ukweli
umuhimu wa kutii katiba
uoga
uongozi
viongozi wa serikali
vitendo vya rushwa
wabinafsi
wakati
Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana.
Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na sio Wapinzani.
Hawa ndio wanao chota pesa BOT, na kwingineko.
Wakusanya Kodi ndio wanao sabanisha...
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=
Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu,
Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi?
Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90.
Hatua zinazoendelea ni pamoja na Maandalizi ya Vifaa vya Uchaguzi, Uhakiki wa Vituo vya kuandikishia Wapiga kura...
"Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana demokrasia wa kwanza katika Nchi yetu, kwahiyo ni wito wake kuwaomba watanzania na wana Dar es Salaam wote kuhakikisha Tunashiriki kwa kiasi cha kutosha ili tuweze kichagua Viongozi tunaowataka, na mwisho tuepuke malalamiko kwa kuchagua au kwa kutohusika...
Walizoeleka kukiteka chama kipindi cha nyuma kidogo.
Yaani walijidai kuisifia CCM ili wapate uongozi huku wakijivika umaarufu ..eti CCM ikiwatosa watahamia Chadema.
This time around hakuna chama cha kuwabeba wakikosa CCM watakosa na Chadema pia...chadema ni legevu mnooo.
Wana CCM kindakindaki...
Wakati serikali ikitarajia kutangaza zoezi la maboresho ya daftari la wapigakura katikati ya mwezi wa saba kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoani Mara @jafari_chege anatarajia kuanza ziara itajayojikita kata kuwaanda...
Kwa maoni yangu binafsi ninavyoona,
Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unapokaribia, hali ya kisiasa nchini Tanzania inazidi kuwa na changamoto. Ninavyo ona ni kama vile Wananchi wameonekana kupoteza mwamko wa kisiasa, na imani yao kwa vyama vya siasa na viongozi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.