serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    PreGE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa wapinga maandamano ya CHADEMA. Wanataka kutuharibia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka huuKatibu Mkuu wa DP Abdul Mluya ndiye Mwenyekiti wa umoja wa vyama hivyo Pia soma Umoja wa Vyama vya...
  2. A

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  3. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024

    Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310. Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni makao makuu ya serikali, ambapo bunge na ofisi nyingi za kitaifa zipo. Idadi ya...
  4. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora 2024

    Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa Tabora una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa mikoa mikubwa zaidi nchini Tanzania. SOMA PIA Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
  5. Matulanya Mputa

    PreGE2025 Tutegemee kuhama kwa wanasiasa baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na pia atakayeongoza huo ndiye mshindi 2025

    Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni. Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za huru na haki kama ikitokea uchaguzi unakuwa wa huru na haki kwa 80 % basi tutakuwa tumepata uelekeo wa...
  6. J

    PreGE2025 Mnyika: Mzee Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa. Tutaendeleza Majukumu aliyoyaacha!

    Katibu Mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema Mjumbe wa sekretarieti ya Chadema hayati Ally Mohamed Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mnyika amesema wakati wanafuatilia Kwa karibu Wahusika wa Unyama huu ni Lazima waendelee na...
  7. Suley2019

    PreGE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo zilizotungwa kwa lengo la uratibu na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kupitia...
  8. B

    Ridhiwani Kikwete ashiriki ziara ya Katibu Mkuu wazazi- Bagamoyo, aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM na ushiriki uchaguzi Serikali za mitaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo...
  9. J

    PreGE2025 Mongela: Tunaingia kwenye uchaguzi na uhakika wa ushindi

    Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu (CCM-Bara), John Mongella baada ya kupokea taarifa ya...
  10. backbenchers

    Jitihada za Serikali za mitaa na kata kufunika maovu

    Habari Wana Jamii forum, nitumaini langu wote mnaosoma hii post muwazima. Ni kwa uchungu mwingi nawaleteeni discussion ya maovu mengi yanayofichwa nakusokomezwa chini ya jamvi yanayofanywa na baadhi ya watendaji wa kata na wasimamizi wa serikali za mitaa. Siku hizi tumekuwa tukiona vimbwanga...
  11. JET SALLI

    PreGE2025 Kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu watu husema wakiwahonga fedha zao chukueni au kuleni ila msiwachague je ni sahihi?

    Ndugu zangu kauli hz zimezoeleka sana tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na tukiwa kwenye uchaguzi vilevile,je Hv ni kweli mtu anaweza kula pesa ya mtu na asimpe kura?,na je aliyetoa pesa hizo anajua kweli kwamba waliokula fedha zake hawakumchagua, je anaweza kuamini rahisi kiasi hicho. Mimi...
  12. milele amina

    PreGE2025 Falsafa ya 4R za Samia na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2024

    Nije Moja Kwa moja.kwenye mada: Falsafa ya 4R ambayo Rais Samia Suluhu Hassan anaiwasilisha kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2024 inapaswa kutazamwa kwa makini. Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa maneno ya Rais Samia yanaweza kutofautiana na yale...
  13. Matulanya Mputa

    PreGE2025 Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM

    Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya...
  14. Mmawia

    PreGE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

    Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi. Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020. Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na...
  15. Yoda

    PreGE2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna kampeni?

    Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi? Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kanda ya Kati: Siri ya Ushindi wa Kishindo wa CCM Kila Uchaguzi

    kwa tathimini fupi sana ya uhakika, ni wazi na bayana kabisa kwamba kanda ya kati ni miongoni mwa kanda ambazo ni ngome imara sana isiyo tetereka wala kuyumba ya CCM na ambayo ina kura nyingi sana za uhakika na za kishindo kwa CCM. Katika kanda hii, wapinzani walishaga jikatia tamaa kabisa eneo...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Tufanye nini ili kuongeza ushiriki wa wanawake hasa vijana kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu salaam, Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote. Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
  18. I

    Ili uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa

    Ili uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa: 1. Uwazi na Uadilifu wa Mchakato wa Uchaguzi. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi, kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi, viwe na uwazi katika kuendesha mchakato wa uchaguzi kuanzia usajili wa wapiga kura, uteuzi...
  19. J

    Ulijifunza nini katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014/2019? Unatarajia nini katika uchaguzi wa 2024?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura? Kama ndiyo/hapana kwanini? JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala utakaohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, utakaofanyika kupitia XSpaces, leo Agosti 22, 2024...
  20. Black Butterfly

    LGE2024 Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na; 1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572, 573, na 574 ya tarehe 12/7/2024; 2. Mahakama kutoa ruhusa kwa waleta maombi kuwasilisha maombi ya...
Back
Top Bottom