Chama kilichotawala Afrika Kusini kwa zaidi ya miaka 30 chazidi kupoteza uungwaji mkono; takwimu za chaguzi za Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu zaonesha kuporomoka kwa nguvu yake ya kisiasa.
DA yaimarisha nguvu katika miji mikubwa, chama cha Zuma cha chanja mbuga KwaZulu-Natal huku vyama...
Chama tawala cha Afrika Kusini, African National Congress (ANC), kimepata pigo kubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Kwa mujibu wa matokeo ya awali, ANC imepata takribani asilimia 31 ya kura, ikilinganishwa na karibu asilimia 46 katika uchaguzi wa mwaka 2021.
Chama kikuu cha upinzani cha...
Chama cha African National Congress (ANC), kilichowahi kuongozwa na aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kimepata pigo kubwa baada ya kupata asilimia 30.76 ya kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 4, 2026.
Matokeo hayo ni anguko kubwa...
Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
Anonymous
Thread
chupa
hatua
kuchukua
kuchukua hatua
miaka
miaka 10
mitaa
mtoto
mtoto wa
serikaliserikalizamitaa
ukuta
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania.
Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma.
Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
Anonymous (ca61)
Thread
ajira
ajira serikalini
mitaa
nafasi
serikaliserikalizamitaaserikalini
usimamizi
usimamizi wa serikali
wahitimu
za ajira
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Cecilia Daniel Paresso amesisitiza ushirikishwaji wa wananchi wakati wa utungaji na uhuishaji wa Sheria Ndogo za Mamlaka za Serikali za Mitaa, ili kuwajengea wananchi uelewa wa sheria hizo ambao utawezesha utekelezaji wake katika Mamlaka...
Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana Viongozi wetu wa serikali za mitaa Tunaomba mturudishie jeshi la sungusungu ili kuimarisha ulinzi na amani kwenye maeneo yetu.
Sisi wananchi tupo tayari kuwachangia posho kwasababu kazi zao tunazikimbuka vile zilikuwa na tija kwa ustawi wa serikali zetu...
Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea....
https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es
Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12.
Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe.....
Ni kile...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na ubodaboda, umachinga na saluni; wanalelewa na kuratibiwa ipasavyo ili kuepusha uwezekano wa kutumiwa...
Hamjambo!
1. Bado tunaendelea kupeana Pole katika kipindi hiki kigumu.
2. Kuna makosa kadhaa yalijitokeza ambayo yametufanya tujikute katika hali tuliyomo.
3. Kosa mojawapo ni Utoaji na upatikanaji wa taarifa za makatazo na amri za serikali kama amri ya kutotoka nje muda fulani au kutofika...
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki
Tunahitaji katiba mpya ambayo kutakuwa na watu huru kabisa. Sio hawa walioteuliwa na INEC wakati kanuni za utumishi...
Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi.
Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.