Habari za Jioni wapendwa.
Ninaomba nakala Ya kitabu cha MATTHEW MULUMBI Part 2 YA mwandishi Patrick C.K.
Nimetafuta kila kona sijapata hivyo basi aliyebahatika kuwa nacho anisaidie na mimi hapa
Natanguliza shukrani zangu za dhati 🙏
FUMIGATION ina jumuisha mambo mawili
1.Kunyunyiza
2.kufukiza
Watu wengi wamewahi kuona FUMIGATION ya kunyunyiza ila hawajui kuhusu FUMIGATION ya kufukiza,,,
Hii inasababishwa na ukosefu wa Elim katika jamii kuhusu jambo hili.
Kwa mfano kuna watu wengi hupita mitaani na kujinasibisha kuwa...
Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune.
Wewe unayefanya biashara...
Wakuu,
Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa huko kuwa sight yao kwenye kipengele hiko ipo down?
Ujumbe uwafikie waheshimiwa TRC, fanyeni mambo...
Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha
Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini.
Kutokana na hatua...
Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima Cha Siku 40
Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Ni kipindi kinachotualika kumwilisha ndani mwetu utamaduni wa upendo, kwa kufunga na kutenda matendo ya huruma: kiroho...
Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa alfajiri.
Baadaye nikaona nikapoze mwili. Likaja lishangazi limefunga kitambaa laini kiunoni. Lina mipaja...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim na tilmizu eti alimsikia mtume akisema hapana.
Nataka kwa mwenye andiko kutoka kwenye kitabu...
Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...
Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose.
Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi.
Inakuwaje mtu...
Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤
Tanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi:
1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara nchini, lenye bandari kubwa inayohudumia nchi nzima na majirani. Shughuli za kibiashara na viwanda ni...
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani
Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.