sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna jiji au manispaa ambayo ina sehemu inatoa internet ya bure?

    Kuna jiji au manispaa ina park au sehemu ambayo mtu anaweza kwenda na kupata internet ya bure?
  3. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Nipo sehemu wanasema kanda ya kati anakuwa VP na last born wa taifa anakuwa PM

    Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM. Mimi naendelea kuwasikiliza hawa wadau wangu hapo kwa fundi viatu, nitaendelea kuwajuza
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je,BOSI NDIYE ALIYETAKA MABADILIKO?. Ona sehemu ya kilichoandikwa.

    Wakuu, salaam. Nimeisoma barua inayosemekana kuwa ya mwenyewe. Nukuu: "Pia nilimhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji makamu mwingine wa Rais, nitaachia nafasi hii. NIMEJIRIDHISHA PASIPO SHAKA KUWA MH. RAIS ANATAMANI MABADILIKO, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu". Mungu awabariki.
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi unapoingia kwenye sehemu za starehe

    Salaam jamiiforum. Leo ni siku ya ijumaa tulivu,siku ya mwisho wa wiki Kwa wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Ndiyo siku maalumu wengi wanaenda sehemu mbalimbali za starehe iwe clubs,bar na kwenye makasino. Lakini mara nyingi tunapoenda sehemu hizi kwaajili ya kufurahi mara nyingi furaha...
  6. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Huwa inaniuma sana kama nimezoea kula sehemu then ifungwe

    Kuna mgahawa ulikuwa classic sana. Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa... Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana. Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine Daah! Haya mambo ya ubachela bwana...😔 Si amini sana kula sehemu ambayo haina mazingira mazuri na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Dar es Salaam karibu kila sehemu imegeuzwa kuwa bandari kavu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema licha ya Serikali kujenga Bandari ya Kwala bado Jiji la Dar es Salaam sehemu nyingi kumegeuzwa kuwa bandari kavu (ICDs). "Kuna watu wanahujumu uchumi wa nchi. Kwa sababu kwa mfano, Dar es Salaam sasa hivi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa. Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke hajakuomba pesa, usijipendekeze kumpa. Kuomba ni sehemu ya kujishusha kwako

    KAMA MWANAMKE HAJAKUOMBA PESA USIJIPENDEKEZE KUMPA. KUOMBA NI SEHEMU YA KUJISHUSHA KWAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Usipendi kujiongeza kwenye ujingaujinga. Mpe hizo hela mama yako au Baba yako kama yupo kama unajihisi unakiherehere. Au kama ni wale wakujipendekeza jipendekeze kwa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana kutoka NIT anaomba sehemu ya kufanyia field kwa kampuni yoyote ya Forward and clearing

    Taarifa zake hizi hapa RAMADHAN SALUM RAJABU Anasoma NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT Age: 20 YEAR OLD Mwaka aliopo :SECOND YEAR Field yake : FREIGHT CLEARING AND FORWARDING Mawasiliano yake haya hapa 0778928217 Naomba tumsaidie Wana JF Yupo Daressalaam.
  11. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wakikuacha sehemu, wakidai kuwa hawawezi kwenda na wewe, Wakirudi hakikisha hawakukuti walipokuacha

    Wakikuacha sehemu, wakidai kuwa hawawezi kwenda na wewe, Wakirudi hakikisha hawakukuti walipokuacha.
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika sehemu wanaoongoza kwa ku judge ni mikoani sio kwa Dar.

    Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani. Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi. Ndio maana asilimia kubwa ya watumishi wa mikoani wamechoka sana. Kwa wananchi wa mikoani hapo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Sehemu Yoyote Ile Duniani Ambako Dola Inachezewa Na Kuyumbishwa na Mtu Akachekewa tu. Ni Lazima Upitishwe Kwenye Tanuri la Moto Hadi Uive Akili

    Ndugu zangu Watanzania, Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta Dola ikichezewa na mtu Akachekewa tu na kuachwa aendelee kuyumbisha Dola na Usalama wa Taifa. Hata...
  14. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Kama duniani ni sehemu ovu,mbaya na haifai si mjiondoe mnafanya nini sasa

    Kuna dini za ajabu na za hovyo sana. Kila siku kutisha watu kuwa duniani hapa ni sehemu mbaya ovu,haifai,ni makao ya shetani. Na kuwa wameandaliwa makao eti peponi sijui firdaus. Ila wapo hapa duniani kila siku kutumalizia hewa na kuongeza joto la dunia si muondoke mtuachie dunia yetu...
  15. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Bawasiri ni kutanuka au kuvimba kwa mishipa ya damu (dilated or enlarged veins) iliyopo sehemu ya chini ya rectum au sehemu ya haja kubwa (anus).

    VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI 1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight) 2.🖇️ Ujauzito 3.🖇️ Unywaji pombe 4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu 5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa. 6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni: -Vidonda vya TUMBO -Ngiri/Hernia...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo. 1: Hana bikira 2:Katoa mimba shazi 3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo. 4...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanamke kukupangia sehemu ya kwenda kugegedeana?

    Amani ya Bwana iwe nanyi! Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo, mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30, nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani. Mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k, na bia mbili mbili elfu 8, elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Punguza ulalamishi sehemu za kazi, inapunguza uwezo wako wa kufanya kazi

    Ujumbe wa CPA(T) Emelia Simon Mwakatwila kuhusu utendaji wa kazi kwenye ofisi mbalimbali. Ana hoja?
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania OSHA wanatoa cheti gani kwa mtu anayetaka kufanya kazi sehemu hatarishi kama mgodini

    Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom