sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

    Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu.. Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana uraisi ni mtamu sana yani mshahara wa raisi wa tanzania ni mkubwa kuliko raisi wa china.

    Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mliomnyima kitalu cha kuchimba dhahabu Kigwangala mnasababisha atokwe na mapovu sana... sio sawa..

    Kigwangalah should learn to MOVE ON... He is not the only citizen who deserves to be a minister. Hata Lucas Mwashambwa anaweza kuteuliwa na rais kuwa mbunge na akawa waziri siku hiyohiyo. Ile ni nafasi ya kisiasa tu haina uzito kama ukatibu mkuu wa wizara. Huyu jomba kila siku anatoa kilio kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Freeman Mbowe atajiunga na CHAUMMA, taifa litanufaika sana

    Habari wanaukumbi! kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

    Ameongeza kuwa, "Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi." Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA? WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mmoja ya Members wenye Maadui wengi sana humu JF. Hadi watu wa Mfumo wanamtafuta sana

    Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au Itikadi zao. Nlishasema hawa nitawapasua tu hata kama nitabaki peke yangu wao watakuwa milion moja...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii kauli "Kama washaharibu nchini kwao wasije nchini kwetu kutuharibia pia" Rais Samia alikosea sana

    Mda Mwingine hua najiuliza unayosema unayaelewa au vipi bibi? Ile kauli ya kusema kua "kama washaharibu Nchi kwao wasije Nchini kwetu kutuharibia pia" Inaonyesha Ubinafsi wa hali ya juu sana na inaharibu picha ya Tanzania ambayo ilikua imejengwa enzi na enzi. Mataifa Mengi yanayo tuheshimu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwa thamani ya Tanzania niwafurahishe wakenya?, CHADEMA kuna mahali mnakosea sana

    Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee, Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale? Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh! Huyu baba ni jeuri na katili sana. Tusaidiane kumkemea

    Huyu baba ana watoto wengi sana, lakini hajali kuwatunza. Anadai ana mapesa mengi na mali nyingi. Lakini watoto wake wakiugua hawaambii waende hospitali, badala yake anawahimiza waende kwa waganga wa kienyeji. Amewaajiri watoto wake wamsaidie kufanya kazi zake lakini ajabu hawapi mshahara...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda sana hii picha kutoka The Chanzo. EBU TAZAMA!

  17. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

    Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka. Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa. Hii mbinu inasaidia sana. Binafsi nitafanya hivyo ili kunusuru ndoa yangu na kuimarisha familia. Few days ago...
  18. M

    JamiiForums Tanzania kihistoria ndoa hazikuwa zinafungwa sababu ya love, bali sababu zinginezo, zama hizi ndoa zinavunjika sana sababu zinafungwa sababu ya kupendana

    Kwa kihistoria, ndoa ilikuwa suala la kibiashara kabisa. Katika maeneo ya kale ya Mesopotamia, Misri, na Uchina, ndoa zilipangwa ili kukuza utajiri wa familia, kupanua maeneo, na kuimarisha ushirikiano wa kisiasa. Miongoni mwa Wazulu wa kusini mwa Afrika, ndoa ilikuwa njia ya kuunda uhusiano...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

    Hapumui vema, halali Usingizi ukaja, Kibubu kinapukutika kwa kasi sana, Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena. Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni. Kilemba chawasha kichwani...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna waswahili wana matumizi potofu na hovyo sana ya neno "dhidi"

    Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao...
Back
Top Bottom