The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono timu 'Tupakule Magwajima' Est.2025.
Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano...
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara...
Mpaka sasa sijaelewa diplomasia ya serikali ya Mama Samia imejikita kwenye nini hasa! Uchumi, usalama au nini?
Kwa majirani zetu wa Kenya na Uganda tumeshaharibu hivyo hivyo hatuko vizuri sana na Congo na Rwanda.
Cha ajabu kwangu leo ni kwamba wakati Marekani na EU wakilalamikia hali ya mambo...
Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji
Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..
Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu...
Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia.
Haki Mapenzi ni Ubunifu.
Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!??
Ehh!!
Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama.
Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu.
Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake.
Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
Habari gani wana JF.
Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing).
Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
Kila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida.
Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.
Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake...
Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa.
Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa watani kama mechi ya kawaida. Simba tubatakiwa kujipanga sana ili kupata walau alama kwenye huo...
I will be short
kuna theory inasema
" NOTHING IS TO BIG TO FAIL"
ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently.
so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
Enzi zetu kupata kazi kama umesoma haikuwa '' a big deal''...sasa watu wengi walikuwa na maringo ya kuchagua mikoa ya kufanya kazi....kuna baadhi ya maeneo mtu akipangwa na kazi anaacha kabisa kabisa.
Sasa huyu ni Mwalimu wa shule ya msingi akapangiwa kwenda kufundisha mkoani halafu kijijini...
Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance.
Ukilisoma tangazo hili limekaa kimtego sana na kwa upande mwingine sidhani kama linafuata miongozo na sera za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.