sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Kuna watu wanaodhani wao ni wana-CCM zaidi ya Mwl. Nyerere, wajiangalie sana

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakuna utamaduni wa kuvuana nguo hadharani, bali kuna utamaduni wa kukosoana kwa lengo la kujenga chama. "Tunakosoana kwenye vikao" haipaswi kutumiwa kuzuia wengine kutoa maoni yao waziwazi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa

    These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa. Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha. Yanga...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Naweza kutabiri kifo cha kisiasa cha Polepole, press ya leo ilisubiriwa kwa hamu lakini kaongea mambo ya kawaida sana, sasa ajindae kwa mwangwi mkubwa

    Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya. Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    “Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

    Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanamaisha magumu sana

    Ni mwaka fulani nipita apo Dar, nikaamua nipite kwa mshikaji wangu wa kitambo tulisoma wote huko kanda ya ziwa. Nilimtafuta akanambia yeye yupo kulagwa akanambia hana ela ya usafiri kunifata nilipo nikaona isiwe shida nikamfuata. Nilipofika asee sikuamini maisha yamemponda sana ile sana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Timu ya Jangwani wana dhuluma sana Sema waandishi wengi wako upande wao

    Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mkimsema vibaya Mh. Rais naumia sana wakuu, naona kabisa mnanizibia riziki

    Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu. Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

    Hii inatisha ndani kwa ndani aisee Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !! Hapumui, Cha msingi msiache glass za maji wazi . Britanicca!!!
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

    So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia]. Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia. Hakuna namna ingine ya kuweza...
  13. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha hii kitu?

    Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Bongo tuna wahamiaji haramu wengi sana

    Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tshabalala alikuwa miongoni mwa wasaliti ndani ya Simba, akiondoka nitafurahi sana

    Huyu dogo mnaolia lia endapo ataondoka niwaambie msichokijua, ni msaliti namba moja ndani ya timu yetu, nna mengi kuhusu yeye, ngoja nikae kimya t
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, akizungumza leo Julai 16, 2025 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, amesema, "Nataka nisisitize kwamba mimi bado ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi na nitaendelea kuwepo" "Mara nyingi Watu wasiopenda mema, ukizungumza tu jambo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS, hii imetokea India lakini kuna siku nimepita maeneo ya Ruaha barabara ya kwenda Iringa nikaona kitu kama hiki ni rahisi sana kutokea pale!

    TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Namsihi Humphrey Polepole asitishe press ya tarehe 17, tafadhali sana

    Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya. Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi...
Back
Top Bottom