sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mei 7, 1919 Vita ya Kwanza Duniani ilituharibia sana, Tanzania tungekuwa mbali sana

    Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia walikuwa Waingereza waliokabidhiwa taifa leo. Hatukupaswa tuwe marafiki na waingereza. They were...
  2. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

    Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake. Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Mfahamu adui wa Yanga, Fouz Lekjaa) aliyeko Morocco

    Mwaka jana mwezi March wakati Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa Caf katika mkutano uliofanyika Rabat Moroko kiu na hamu ya wengi ilikuwa ni kumuona CEO Senzo na Injinia Hersi wa Yanga wakitia team mkutanoni Kiu hiyo siyo ya wabongo ni wadau mbalimbali wa Afrika waliokuwa na hamu wa kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wote wanakula kwa jasho? Jinsi watu wasiofanya kazi walivyotokea duniani

    Wamepora mifumo na bidhaa ambazo zilipaswa kusaidia jamii nzima. Wanatamani hata hewa waiwekee haki miliki ili tuwe tunainunua. Makampuni yangefyonza gesi yote ya oksejeni angani na kuimiliki. Watu wasiojiweza wangekufa kwa kukosa pesa ya kununua Oksijeni. Kwenye mambo mengi wameshinda kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

    Wazazi wengi, wanajitahidi sana kusomesha watoto wao ili huko mbeleni wawe na maisha mazuri au wasiwe tegemezi. Watoto wakishahitimu, uanzisha maisha yao, kwa kujitegemea pamoja na kuwa mbali na wazazi wao; wakuoa wataoa, na wakuolewa wataolewa. Changamoto inayojitokeza, ni wazazi kubaki...
  7. JamiiForums Tanzania Caf inajua kwamba Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi Afrika mashariki, hiki ni kigezo c kucheza super league, Sherehe za ubingwa zilitikisa africa

    Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe inabidi lisherekewe huku kukiwa na mashabiki wengi sana .... Hali hii machoni mwa caf tayari ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamechukia sana baada ya kusikia Yanga atashiriki kwenye super cup

    Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
  9. JamiiForums Tanzania Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

    Najua CHADEMA Huwa hawapendi kuambiwa chochote. Muda wote wanaona wako sahihi .usiwakosoe usiwaambie hapa mnapotea au pale pametoboka. Wana haiba ya ujuaji ingawa sio wote. Kivyovyote vile lazima tuwaambie ukweli ,CHADEMA ya Sasa imepoa hata viongozi wake wamepoa sana ,hatuoni zile harakati...
  10. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bando kuathiri kilimo na ufugaji. Video call zilipunguza sana udanganyifu. TCRA msilichukulie poa

    Wana Jf. Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi aliouanzisha Hayati Magufuli umeuathiri sana Mkoa wa Manyara

    Mkoa wa Manyara uliundwa mwaka 2002 baada ya kuugawa uliokuwa mkoa wa Arusha. Bahati mbaya Baada ya Magufuli kupata urais wa Tanzania alitangaza wazi kuwa mikoa ya Kaskazini itabidi isubiri wakati mikoa mingine wakipelekewa maendeleo. Mwanzoni sikuamini, lakini sahivi ndio nimeamini ile kauli...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

    Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine anazidiwa anamtumia silaha , akiona anakaribia kupata ahueni anazima data rais wa Ukraine anaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

    Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

    Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya leo matatizo Ni prana. Raila amechoshwa sana na kampeni

    Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda sana

    Hii Ni story ya kweli ya jamaa yangu na jirani yangu huku nilipo. Anasema mwaka 2019 alipewa taarifa na ndugu yake kwamba Kuna mradi unaanza wakati wowote na atalipwa pesa nzuri Sana. Jamaa anasema alikuwa mkoa tofauti na huyo ndugu yake akaambiwa aandae vitu vifuatavyo Kama sehemu ya kazi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Priva atoa boko la Kizz Daniel afuta tweet haraka sana

    Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu zilizotokea? Ndiyo madhara ya kurukiarukia kila kitu kukifanyia uchambuzi
  19. JamiiForums Tanzania Tiketi za simba zinauzwa buku mbili?

    Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili. Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli? Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO. Kuna shida...
  20. JamiiForums Tanzania Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika ulipatikana fatilia mchango wa Yanga na historia yake katika taifa hili. Yanga is next after...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…