sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ila baba nae anakaa mbali sana na mama yetu, mbona ma first lady huwa wanakuwa close!?

    Mama yetu Yuko poa sana Kwa Sasa . Mcheshi ,mpole na ana chapa kazi kweli kweli. ila Sasa baba yetu haijulikani kapotelea wapi. . Misafara kama hii ya ziara za mikoani ilitakiwa baba anakuwa closed na mama! Si mnaijua baridi ya njombe? au ni namna gani wajameni .! Mama anakwenda , congo ...
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

    Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo ambacho kwa Katiba ya Kenya hakipo ila katika Mazingira tatanishi na kuleta Usawa na Utulivu huwa...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Makabila yatakayoendelea kutegemea elimu iwakomboe kiuchumi(ajira) yatashuka kimaendeleo

    Elimu ni muhimu na wala sio ya kubezwa, Lengo kuu la elimu huwa ni kumkomboa mtu kifikra alafu ndio yanafata mengine, Kwa bahati mbaya hapa nchini jamii nyingi hasa makabila wameigeuza elimu iwe kwajili ya kuwatajirosha kupitia ajira. njia nyingine kama biashara wanapuuza. zamani makabila...
  5. MICHAEL JACKSONN

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  6. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Familia chanzo cha Yote

    UONGOZI huanzia kwenye ngazi ya familia, Ukoo Jamii na hata Taifa KWA ujumla. Jinsi Taifa linavyojiongoza ni matokeo ya UONGOZI bora kwenye ngazi ya familia , kama UONGOZI//makuzi /maelezo ni ya hovyo Taifa hilo ni la hovyo , halieleweki , halithamini, halihuishi ,halijali ,halitilii maanani...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi unatugawa sana -bora turudi kwenye uchifu

  8. Priscusjt muro

    JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa siasa za mrengo wa kushoto (Ujamaa au Communist) katika maendeleo ya haraka ya Taifa

    Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

    Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC Kisha hizo fomu...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Dejan kawakosea nini? Mashabiki mbona mna mambo ya hovyo sana. Huo ni ubaguzi wa wazi michezoni, FIFA haitaki hayo mambo

    Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana. Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Video: Shabiki wa Simba achoma moto jezi zote, pole Vunja Bei vichaa wameharibu sana

    Sisi ni mashahidi tu acha tuitwe majina ya kila aina maana hata tukipiga kelele mazoezi ya Bunju yasiwe ya wazi tunaitwa washamba. Narudia tena hiyo october wakati simba anafumuliwa 4-0 na yanga patatokea vurugu kubwa sana hapo taifa kubwa mno kiasi kwamba viongozi wa simba na wachezaji...
  12. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje ukikutana na Rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho, wako mbali sana kimaisha

    Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe? Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
  13. mankizzo

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya kitambo inakubamba sana ukisikia?

    Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi: TID -zeze Profesa Jay ft Lady Jaydee - Hivi Kwanini Sugu ft Stara Thomas - Kiburi Nipe zako
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

    Kwa ufupi sana. Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine. Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania NMB mnakera sana

    Haiwezekani kuanzia Jana mtandao hamna, sio atm Wala wakala, mjiangalie sana kesho mi nawahama Siwezi kuteseka na pesa zangu,
  16. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

    Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo. Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi. Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli. 1. Vifurushi vya mawasiliano /...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ukiumiza watu kwa kudhani wewe ni mzalendo sana kumbuka ukiondoka Nchi ina baki palepale wanachukua wengine

    Ndugu wanajamii naungana na Paul Mayalla ktk makala zake za Kwa Maslahi ya taifa. Tukiwa ktk wikendi hii ni vema tukatafakari jambo hili. Kumbe cheo ni dhamana. Siasa ni swala la kitaifa sio la mtu binafsi na kwamba usijimilikishe michakato ya kitaifa kufika hatua ya kuumiza watu wengine ili...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania ''Bara Mtateseka Sana Kwa Sababu Hamtaki Kutujua Wazanzibari''

    "BARA MTATESEKA SANA KWA SABABU HAMTAKI KUTUJUA WAZANZIBARI" Ilikuwa wiki ya pili tu baada ya uchaguzi wa Rais Zanzibar baina ya Maalim Seif na Dr. Ali Mohamed Shein. Mwaka ni 2010. Kumbukumbu ya "siege," yaani kupigwa tepe Bwawani Hotel palipokuwa panatolewa matokeo ya uchaguzi na ZEC kila...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Inahuzunisha sana kinachoendelea Manchester united

    Mzuka wanajamvi! Hadi Sasa hivi navyoandika huu uzi Mani ishachapwa 4-0 na vibonde Brentford na ni dakika ya 87, Tatizo Nini? Inasikitisha Sana na wachezaji wao wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Poleni Sana mashabiki wa Mani. Inasikitisha Sana!
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu. Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu...
Back
Top Bottom