sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaezeka paa linaenda juu hadi nyumba inakuwa kama piramidi?

    Wakuu sana ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi? Kuna faida gani? Standard zinasemaje?
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia usipende kila mara 'Kuingizwa Chaka' hivi bali shtuka mapema kwani unaniangusha sana tu

    "Mtendaji Mkuu wa DAWASA ameniambia ukiacha hii hali ya ukame tunayopitia Dar es salaam upatikanaji wa maji upo asilimia 94. hii ina maana kwamba tupo karibu sana au tumeshafikia ile asilimia tuliyoelekezwa na CCM ya asilimia 95" - Rais Chanzo: EATV Mimi GENTAMYCINE siyo Mathematician kama...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kwa roho zenu mnatukwaza sana

    Imesikika miito ya kuwataka vinara wake kujiuzulu. Kuna ya uhaba wa umeme na maji. Kuna ya kuwatelekeza wahanga wa ajali na majanga mbalimbali. Kuna ya kuwatwisha wananchi mizigo ya tozo na kodi zisizo wahusu nyie. Kuna ya kuwalazimisha wananchi kuikopesha serikali. Kuna upigaji Kila kona...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

    Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya. Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated. Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno. Serikali wawaangalie...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi/ walezi jitahidini sana kuzisoma hisia za watoto wenu

    Hii kitu imeleta shida hapa eneo ninaloishi, nipo huku mkoani kikazi na kwakuwa kazi yangu itachukua muda mrefu nimeona nipange nyumba kabisa. Sasa hapa nilipopanga naishi na mama mwenye nyumba ambae ana kibinti chake kilichovunja ungo, nadhani mnaelewa sifa ya hivi vibinti vinakuwa vya moto...
  6. JamiiForums Tanzania KUELEKEA HATUA YA MAKUNDI CAFCC: Nazionea huruma sana St. Eloi Lupopo na US Monastir

    Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo: Marumo Gallants 3-1 Al Ahli Tripoli CS Sfaxien 1-2 ASKO St Eloi Lupopo 1-0 RC Kadiogo Diables Noirs 6-2 La Passe Al Akhdar 4-4 Plateau United Club Africain 0-1 Yanga Future...
  7. JamiiForums Tanzania Namshangaa mke wangu ananunua sana CHUPI kuliko Sindiria ona sasa matiti yanadondoka TUBWi, hadi wa Ng'ambo wanaliona TITI lililo lala ni aibu

    Miaka kadhaa iliyopita nikiwa maeneo ya Namanga Makangira nikiwa njiani kuelekea kanisa la St Peter pale, nilipofika karibu na shule ya msingi Mbuyuni Kuna gari moja ilitokea Mwenge, karibu na Mbuyuni palikuwa na kijishimo uchwara yule bwana aliendesha gari Kwa kasi na kunimwagia Yale maji(kama...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya ‘COVID 19’ Jaji anazingua sana

    Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022. Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
  9. JamiiForums Tanzania Amini, usiamini. Ukitaka kuwa tajiri miaka 10 ijayo, fanya hili. Usidhani ni mbali sana, Utanikumbuka

    Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano: 1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu 3 makali sana waliyonayo mbumbumbu fc

    Ni dhahiri shairi awa wenzetu watani zetu usiku wa kuamkia leo nafikiri awajapata usingizi kutokana na matukio yaliyojiri jana, Ni maumivu makali wameyapata na awatoyasahau kabisa. Maumivu yao ya kwanza ni kutoa sare na singida big star pale liti, wanajua kabisa kumuondoa yanga pale juu...
  11. JamiiForums Tanzania Mashujaa wa taifa hili mwezi huu afande mtarajiwa Majaliwa na Yangaa mmenikosha sana

    MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

    Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia. Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta kiini cha ajali ya ndege ya watu majuzi na waliosababisha, kwani kwa ndege kama ile, tena...
  13. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Uto, ila kuna hili hapa

    Leo Uto mmejua kutufunga midomo tusiyowaombea mazuri, mmetisha sana🫡🫡. Kwenye mechi ya leo nimeona mambo kadhaa: Kilichowaangusha Waarabu ni dharau yao kwa Yanga, hii mechi wangeweza kuimaliza Taifa, kwani Yanga walikuwa goigoi kwenye first leg. Dharau hiyohiyo imewafanya leo wasiamini...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini. Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaopendana sana ndio wanaongoza katika kufanyiana mabaya?

    Ripoti za utafiti zinaonesha kuwa Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inakuja kwakasi katika idadi ya watu wenye matatizo ya afya ya akili. Mpaka sasa kati ya watu wanne basi mmoja wao yupo hatarini kupata matatizo ya afya ya akili. Pia siku chache hapo nyuma tumesikia kuhusu kulemewa kwa idadi...
  17. JamiiForums Tanzania Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  18. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

    Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN. Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Umughaka jamaa mmoja hapa JF nimependa sana

    Huyu bwana namfuatilia Sana he is awesome. Sio mkorofi historia ya maisha yake mpaka response to critic anapata humu. Huyu MTU UMUGHAKA angesima angekuwa daktar mzuri sana. Kuna muda baadhi ya watu tukubali kuwapa heshima zao tu
  20. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana

    Aisee inasikitisha sana. Moyo wangu umejaa chuki na hasira kwa huu upumbavu wa CCM na Serikali aisee hatujifunzi? Nina hasira na chuki aisee. R.I.p my mate and colleugues
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…