Huyu mdada nilikuwa namtamani sana miaka 2 iliyopita nyuma, lakini hakunipa nafasi.
Na kilichofanya ni mtamani, ni uzuri alionao, shepu, rangi, usafi na kupelekea watu wengi kutamani kuwa naye.
Nilimwekea mazingira ya kila namna ya kumuhitaji, na nilishamtakia nataka uwe wangu nioteshe...