sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Okrap

    JamiiForums Tanzania Kulazimisha mapenzi pasipo na mapenzi ni mbaya sana

    Inatokea yule unae mpenda hana muda na wewe na anajua unampenda kwahiyo hata unapo jaribu kutafuta mapenzi kwake unakosa Unajikuta una lazimisha mawasiliano kosa dogo amekutushia kukuacha au anakuacha jaribuni kuheshimu hisia za mtu baadhi ya wanaume 😢😢 ina uma sana
  2. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna baa za members only?

    Naomba kuuliza. Hivi Dar kuna baa ambazo wanaruhusiwa kuingia wanachama wa baa hiyo tu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Bado Halaand ana safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya Cristiano Ronaldo, japo mwelekeo anao!!

    Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!! Domestic Tournaments...
  4. aka2030

    JamiiForums Tanzania Watu washamba mnavyokuja club mnatukera sana

    Kutwa na simu zenu za infinix sijui oppo kukaa na kuanza kurecord ovyo Watu wengine wapo kwenye starehe zao nyie kutwa kurecord sijui muweka status na snapchat Mnaboa sana
  5. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini mh majaliwa anaogopwa sana na wataka urais?

    Kwanini wataka urais wengi wanamuogopa sana mh majaliwa? Japo yeye yupo kimya busy na kazi ila kina hatua zake wanamfuatilia
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta softwares

    Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia softwares OS na designing softwares Naomba sana wakuu 0744210614
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fei Toto tafadhali ufanyie sana Kazi huu Ushauri wangu mzuri na nakuomba Usiupuuze kabisa

    Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa hata Kuonana nami. Fei Toto najua Sakata lako lote na labda leo niseme tu Ukweli kuwa Mpango...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Haya ni maeneo Hatarishi sana kiusalama na maadili Dar es Salaam

    1. Kinondoni - Ushoga,Ushoga,Ushoga Umalaya na Madawa ya kulevya, uhalifu 2. Magomeni na Mwananyamala - ushoga, umalaya na madawa, uhalifu 3. Ilala - ushoga , madawa, umalaya,uhalifu 4. Sinza - matumizi ya madawa x2 na umalaya, Ushoga kwa mbaliii, uhalifu 5. Temeke -...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi vikundi ni hatari sana kwa afya

    Marekani watu huwa hawali vikundu vya kuku. Sasa makampuni ya nyama za kuku yakaonelea kuwa kuvitupa ni hasara kubwa. Yakatafuta soko. Yakapata soko huko visiwa vya Samoa. Kwa miaka na miaka Samoa ikawa ndiyo wateja wakubwa wa vikundu kutoka Marekani. Hivi vikundu vinakafuta mengi kupita kiasi...
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hasidic Jews (Wayahudi wenye msimamo mkali) ni watu wa ovyo sana

    Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia wao. Kwa namna fulani naelewa kwa nini Wayahudi walikuwa Persecuted huko Ulaya. Huwezi kuwa...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 itabidi wanasiasa wajieleze Sana, vijana kila siku wanajinyonga kwa ugumu wa Maisha

    Wamesoma lakini it is about 10 -5 years no Employment then nyie politicians manawakejeri kwa kuwaambia wanabidi watengeneze ajira hivi Mtu anajiajili vipi bila mtaji Wala Mazingira mazuri ya uwezeshwaji. Sijui hiyo 2025 mtakuja na nyimbo gani ili tupate kuwaelewa. Elimu yenu mnayotoa katika...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mbwa mnyama mhuni sana kwenye ngono

    Mbwa wahuni sana kwenye mapenzi kuliko wanyama wengine, mbwa haoni aibu kungonoka mbele za watu tofauti na paka yeye huenda mafichoni
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

    Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city. Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hisia na tumbo vinapoitawala akili ni hatari sana kwa Taifa

    Habari wana JF Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri. 1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna baadhi hawataki kabisa kuona au kusikia mama Samia anafanikiwa na wengine wanapenda tu kusikia mabaya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

    Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea. Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  18. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  19. Blue-ish

    JamiiForums Tanzania Anadanga akiwa na mimba

    Kuna jirani yangu jana aliingia matatizoni na simu kuvunjwa vipande vipande, yaani sisi wanawake sijui tuna matatizo gani? Yaani unakuta mtu ana mimba halafu anafanya umalaya. Mumewe akiwa kazini yeye anafanya kutoka usiku na kwenda kwenye ushenzi wake. Anafanya kulichomekea tumbo lisionekana...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
Back
Top Bottom