sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania VIDEO HII IMENISIKITISHA SANA , IPO YOUTUBE JUST FLOW THERE as titled..., NA SIO PROPAGANDA

    Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad Just look his face , his face looks like your father sema , rangi tuuu
  2. JamiiForums Tanzania Hili la Halima limenihuzunisha sana. Ina maana Dar na Mikoani kote tumekwa kiasi hiki?

    Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba. Halima mpaka leo ni single na hana...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

    Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend sana lakini mazungumzo mengi kule ni ya majonzi. Uzi mwingine una-trend ila sijawahi kuulewa ni ule...
  4. JamiiForums Tanzania Wauguzi wanafanya kazi kubwa sana

    Kazi ya uuguzi ni ngumu sana Wauguzi waongezewe mshahara Nawasilisha
  5. I

    JamiiForums Tanzania Cocacola ya Ulaya ladha yake ni tofauti na za kwetu? Na iphone zao hazina line?

    1. Kwanini soda za pepsi na cocacola kule Majuu Yani Ulaya (sijajua kama ni nchi zote) eti ladha yake ni tofauti na za kwetu hapa bongo 2. Kwanini pia iPhone za hapa Bongo eti pia ni tofauti na za majuu ( kwao eti hazina sehemu ya kuwekea Laini😲) 3. Pia tekno za kwetu ni tofauti na za kwao...
  6. JamiiForums Tanzania Tuachane na yote. Hili suala ni la muhimu sana kujiuliza.

    Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili. Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
  7. JamiiForums Tanzania Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa. Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
  8. JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinakera Sana. Sitakuja kufungua ng'o!

    Kiuhalisia huku ni kupotezeana mb zetu bureee. Yaani unaona mtu kaweka picha 87. Kutangaza biashara sio mbaya lkn ili uweke kwenye status na mvuto na desire kwa walengwa. Nimekuja kuona ni mpuuz pekee ataendelea kufumgua Kila status ya contact za Whatsapp friend and co. Nimekuja kuona kwamba...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

    Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm. Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
  10. JamiiForums Tanzania Nilishangaa makala kiachwa tangu panyaroad wapigawatu. Aliongea siasa za kipuuz sana

    Huyu mkuu wa mkoa ni muhuni TU. Bora charamila mara10000. Yaani wananchi wanajosa amani anapiga porojo. Sikutegemea kuendelea hapo DSM nilishangaa makala kuachwa tangu watoto watukitu panyaroad wapigawatu. Aliongea siasa za kipuuz sana
  11. JamiiForums Tanzania Machalii wa R-Chuga ni wazinguaji, "mwendo wa ngiri mkia juu" hatari sana

    Kula chuma hicho
  12. JamiiForums Tanzania TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

    Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani. Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana. Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
  14. JamiiForums Tanzania Kitendo walichonifanyia mwaka jana pale Cinemax. Kweli hawataenda Mbinguni mpaka leo nina jeraha kubwa sana

    Wale jamaa wahuni sana , nawachukia kiroho mbaya. Nliwahi fikiria hata kuwaroga. Basi tu ila nikiona hata jina lao tu napaliwa na chakula, pumzi inakata nahema kwa shida na macho yanakuwa mekundu. Yaani wale jamaa wakunilisha mimi pop corn tsh 8,000? Pamoja na mademu 4 jumla 40,000 pop corn...
  15. JamiiForums Tanzania Wazuri katika Mungu hawafi na wakifa husiifiwa sana kwa kuwa wanaenda Mbinguni kwa Mungu

    Hello Mungu ni mwamba wa yote! Ama kwa hakika wazuri miongoni mwa wakorinto hawafi, na wakifa husifiwa mithili ya malaika wateule waishio thethalonike. Spinning for the dead angels does not live long and doesn't work with the common majority. Now that, the minority have assumed bust up and...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

    Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni. Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke kushindwa kufika kileleni ni uzembe wako

    Natapa orgasm kwenye clito, napata kwenye vigina na kwenye g spot. Siri ni tatu tu:- Nikiwa naenda kwenye show najiandaa kisaikolojia kabisa kwamba naenda kupata raha zote, hata kama yeye ni one minute man nahakikisha lazima nifike climax. Foreplay lazima more than 30 minutes, hapo lazima tu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania NEMC Tanga City wadhibiti Wenyeji na vigodoro vya usiku mitaani, ni kero kubwa sana

    Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa. Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda. NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
  19. JamiiForums Tanzania Wasiokuwa na connection husota sana

    Ndiyo! Nchi ishavurugwa sana hii. Narudia, wasiokuwa na connection wataendelea kusota sana! Kuna kipindi hapo nyuma nilisoma post ya Mbasha akidai kuwa Waziri wa afya alimsaidia akapata matibabu ya uhakika! Kama hiyo haitoshi kuna idadi kubwa ya vijana wanajitokeza hadharani kukiri kuwa bila...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana. Hongereni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…