sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi. Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu? Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    Waislam wakifunga hata usiyemuislam utafaidi. Sio wachoyo, Sio wabaguzi kwenye futari. Nimewahi kupanga nyumba moja na waislam ikifika mfungo sisi wakristo tulikuwa tunafaidi sana. Kikipikwa chakula cha kufuturu na sisi tumo kwenye bajeti hata kama wanajua hatujafunga. Wakristo tukifunga, mara...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    1. Maryland Bar, ITV, Mwenge. 2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama. 3. Chagga Bite Bar, Makumbusho. 4. Mori Bar, Sinza. 5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani. 6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City 7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya. 8. Meeda Night Club...
  4. mrKey Milly

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakipigiwa simu wanafurahi sana

  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Basi wakati tunaumia sana kuhusu mahusiano tuliyopitia au tunayopitia basi tukumbuke kuna Geremi Njitap

    Huyu ni mchezaji wa zamani wa Cameron , Chelsea na Madrid
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na matapeli wa "ile pesa tuma kwenye hii namba". Ni kama vile wanapata taarifa tunapofanya miamala

    Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text. Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB. Sababu zangu ni hizi:- 1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato 2. Mwaka jana akiwa...
  9. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

    Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
  10. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  13. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani (Tegeta A)

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usipoteze muda na uhudumiwe haraka kwenye ofisi za umma ni muhimu kujua unahudumiwa na mtu wa aina gani

    Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Arse Kissing in Public Relation (Ba. AKPR) Vijana someni hii inalipa sana

    Kuna watu wana Certificates tu lakini maisha wamewin. Wanaendesha maisha vizuri sana. Msing'ang'anie kusoma program ambazo zitawaweka mitaani. Unatakiwa tu uwe umeamua kuacha kutumia akili kabisa. Utumie tu ulimi kulamba makalio ya wakubwa na sole za viatu vyao in Public. Hutakiwi kuwa na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Serikali zimekuwa zikitumia vijana waliomaliza intern (post intern attachment) huku wakiwalipa hela kidogo sana

    Habari. Kuna rafiki yangu mmoja amemaliza internship ya udaktari mwaka jana katika hospitali ya rufaa ya Morogoro na kabla ya wao kumaliza hospitali iliomba watu kumi waandike barua kwa ajili ya kujitolea na wakaiita (post intern attachment). Kwa kawaida watu wanapochaguliwa kujitolea huwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Anayesimamia utoaji wa Pasi za kusafiria (Passport) embu alegeze, watu wanateseka sana

    Kwako Ndugu Kamishna wa Uhamiaji Mamayetu Pls kitengo cha uhamiaji upande wa passport embassy fanya marekebishooo Leo niliamua kuadhimisha miaka 3 ya mama samia kwa aunt yangu Nimepata muda wa kuangalia sifa na baadhi ya malalmiko yaliyotolewa na wananchi Katika tv mbili tofauti wananchi...
  20. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
Back
Top Bottom