The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
Historia ya maisha yako ya zamani tangu kuzaliwa, malezi na makuzi yako kiroho, kimwili, kielimu, kisiasa kijamii na hata kiuchumi ni Huruma ya Mungu tu.
Na hata hapo ulipofikia hivi sasa ni Upendo wa Mungu tu
Na unapoelekea ni pekee Msaada wa Mungu ndiyo wa kukufanikisha. Jifunze kua na...
Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu...
Inakuwaje wanajamvi?
Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku.
Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana Boma ya Ng'ombe Karibu na Kia kilimanjaro.
Please Wadau naomba maelekezo kwa yoyote anayeijuwa...
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.
Kwa kweli wakati...
Salaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu...
Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si...
Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni miongoni Mwa vitu vinavyomfanya kujenga ushawishi kwa kila Rais anayeingia Madarakani kumuweka katika...
Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi...
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.
Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
Huyu mmh anaipenda sana simba
Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom
April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi
Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba
Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...
"Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za...
Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k.
Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70
Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na miaka 69
Umezaliwa 1972, ukifika 2040 utakuwa na miaka 68
Umezaliwa 1973, ukifika 2040 utakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.