sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  2. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Umalaya ni mbaya sana! Ewe mwanaume mwenye familia, itunze

    Hiki kisa kimenisikitisha sana. Kuna jamaa yangu na rafiki yangu kitambo toka 1980's kule Morogoro na tulianza biashara naye za kuuza/kuchukua Sigara kwenye treni kipindi hiko. Mambo yakatunyookea tukaanza kufanya biashara za Mahindi kwenye mikoa ya Songea na Morogoro. Mwaka 1997 jamaa...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii ni sababu kubwa isiyotajwa sana inayochangia Wabongo kutoweza kurithisha utajiri kwa vizazi vyao

    Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo. Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kila ikifika saa nane naota wezi ba napiga kelele msaada pls wiki sasa nasali sana usikupia

    Naitwa sherry Na umri wa miaka 35 Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku..... Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na...
  7. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kutoa kwenye ATM kwango cha laki nne kwa mkupuo mmoja ni kidogo sana, nashauri waongeze

    Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja. Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia kichapo kinachotolewa na Israel utagundua Russia ni overrated sana

    Israel hana kelele ni kipigo tu Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi .. Tunataka atoe kichapo .
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Israel intelligence ijue Walipo viongozi wa Lebanon na Hammas lakini haijui Mateka walipo. Israel ni washenzi Sana.

    Habari za jioni! Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi. Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa. Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa! Hiyo vita hapo...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya watu huwa na washangaa sana. Huenda na wao pia huwa wananishangaa

    Mungu awe nanyi nyote. Nikweli kwamba hatuwezi fanana kwa kila kitu wala kupangiana vitu vya kufanya. Sasa kuna hawa watu yaani unakuta analalamikia kitu hadi unauzika ukimwambia achana nacho ufanye kitu kingine anakuambia hawezi acha kwa sababu flani fulani zisizo hata na mantiki yoyote...
  13. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hii game ya Bayern Munich na Leverkusen iko moto sana

    Binafsi napenda Bayern ashinde ila hadi Sasa kapigwa Moja
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Dini zinawagawa sana watu kuliko kuwaunganisha .

    Maoni binafsi Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja. The bible is there Quruan is there But only few people can use it positively. Watu wanatengana Wanabaguana Wanachukiana Dini zote zinafundisha UPENDO lakini...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ila Watanzania bhana.....Nimecheka sana na sijui huwa mnawaza nini

    Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata Kuyaacha kwa Watoto wa Pwani hapa mmenielewa vyema tu najua. Aliyetengeza hiyo Clip ni Mbunifu mno kwani...
  17. knows

    JamiiForums Tanzania Hii hali inaniumiza sana

    Habar wana jf, Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania. Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu. Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga...
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huruma, upendo na msaada wa Mungu ndiyo msingi wa mafanikio yako kisiasa, kijamii na kiuchumi

    Historia ya maisha yako ya zamani tangu kuzaliwa, malezi na makuzi yako kiroho, kimwili, kielimu, kisiasa kijamii na hata kiuchumi ni Huruma ya Mungu tu. Na hata hapo ulipofikia hivi sasa ni Upendo wa Mungu tu Na unapoelekea ni pekee Msaada wa Mungu ndiyo wa kukufanikisha. Jifunze kua na...
  20. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
Back
Top Bottom