sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaochagua pesa kuliko uanaume?

    Kijana wa kiume unaamua kuuzika uanaume wako na kugeuzwa na mwanaume mwingine kisa pesa? Dah! Nawaza namna mtoto wa kike huwa anaulilia na wewe vivyo hivyo? Kisa pesa? Kuna haja ya serikali kuja na mkakati maalumu ya kudili na hawa watu, mtu akigundulika ni shoga tia sindano kimya kimya...
  2. JamiiForums Tanzania Traffic wa Ulanga Mna njaa sana! Sema mmenikuta Tarehe za Mshahara, Money Talks!

    Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara. Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au wajishughulishe na kilimo cha Mpunga, wanaomba hadi aibu. Kuna kazi ni kujiaibisha, baba kaenda kazini, kumbe...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya sana kwa wachagga

    Mlima Kilimanjaro ni chanzo kikuu cha maji katika maeneo yote ya uchagani. Mifereji, mito, yote imeanzia huko. Mlima huo ulipata umaarufu zaidi kwa kuwa na theluji(glaciers) ilihali upo karibu na equator. Theluji hiyo ilifunika mlima ule kilele chote. Ila kwa miaka ya karibuni, asilimia...
  4. JamiiForums Tanzania Magufuli Kuna namna alimvumilia sana.

    Yeah.. kama Hali ndio hii na mood swings za hapa na pale, Kuna namna mzee naye alimvumilia ... Ndio maana magufuli alikuwa ni one man Army kila mahali yumo ,hakutaka kutumatuma . Alienda mwenyewe . NB:madarka yalivyo matamu huwezi niambia na kuni shawishi nikaelewa wafilipi de la planer na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni series gani ambayo ilinoga sana mwanzoni lakini mwisho ilikuja kuboa?

    Wakuu, Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦‍♂️ Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na safari ndefu, alifariki kizembe vile. Vifo vya mwanzo viliumiza kwa sababu vilikuwa na maana...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMOND
  7. JamiiForums Tanzania J3 mauzo ya maduka mengi ya madawa hupanda sana kutokana na yaliyofanyika wikiendi. Wafamiasia ni kweli?

    P2 zinanunulika sana blue monday kwa kuuza mechi. Dawa za U.T.I na Gono nazo zinatembea sana j3. Dawa za maumivu, spirit za kutia kwenye vidonda nazo zimo kwenye chati kwa kununulika sana blue monday na hii inatokana na maugomvi na vurugu zinazotokea wikiendi. Ama kweli kufa kufaana. NB...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Muda unakwenda sana, mwaka 2000 uncle alikuwa kijana mwenye 34 leo ni mzee mwenye 60

    Muda unakimbia, Fainali uzeeni
  9. JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  10. JamiiForums Tanzania Wapo wanaofanikiwa lakini,99% ,huangukia pabaya sana!

    Mwanamke!!!!…maisha mazuri hayaji kwa kupanua panua miguu yako hovyo hovyo… Umalaya huleta nuksi sana kwenye maisha..wengi wenu hamjui tuu.. Yaani kwanza Malaya hanaga haiba ya kike..by 100%, hana upendo (True love) yaani hanaga haya wala aibu.. Umalaya huleta mental health…problem, mwanamke...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    madawa ya kulevya...Bangi,unga Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama, uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi, Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni kwenda kuwauza, Kuforge bidhaa fake kama pombe kali, electronics devices...nk Hapo hela imelala ya...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga sana.

    Hellow wana JF. Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana. Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka...
  13. JamiiForums Tanzania US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Eneo la Iduda, Mbeya tunateseka na tatizo la kukatika kwa Umeme

    Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara. Kwa wastani, tunapata umeme kwa takribani siku nne pekee kati ya siku saba za wiki. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  16. JamiiForums Tanzania Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Bora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
  17. JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi kuwatungua🫵🫵😎. Picha hii hapa inajieleza.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mtiririko wa gundu unavyokufikia kupelekea utafutaji na amani ya maisha yako kuwa wa tabu sana

    Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana, Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza. Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
  20. JamiiForums Tanzania SETTINGS MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA ROUTERS ZA 5G-CPE au 4G ZA UNLIMITED HUSUSANI WATUMIAJI WA AIRTEL NA MITANDAO MINGINE PIA..

    Habari zenu wakuu, hope mko poa kabisa.. Leo imenibidi nifanye ku share jambo muhimu sana kwetu hasa mnaoteseka na hizi Routers za ISPs wetu hawa wa bongo kwa muda mrefu sana na mawakala wao wengi hawana uelewa mkubwa sana juu ya hili tatizo so inabidi mhusika ndo ufanye configurations mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…