samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kinara katika masuala mbalimbali ya afua za kijamii- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika jijini Arusha, uliokutanisha zaidi ya...
  2. O

    Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

    Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu. Nyumba tunazotilia shaka: Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na...
  4. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  5. Zack Abdul

    Her Excellence Dr. Samia Suluhu Hassan

  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Samia Suluhu Hassan anawivu wakike?

    Akiona tu mtu ana akili kuliko Abduli na Wanu ananuna.
  7. Waufukweni

    Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru...
  8. Waufukweni

    Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

    Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake. Rais Samia pia amemtaka...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    Samia Suluhu Hassan Anatuharibia Tanganyika Yetu

    JWTZ mko wapi? TISS mko wapi? Kwanini mmeendelea kumsikiliza huyu mama na mnaona kabisa analipeleka taifa mahali pabaya? Mtaendelea kuua ndugu zenu mpaka lini?
  10. Waufukweni

    Musukuma: Hatutegemei Ndejembi ukaanze tena mambo yaliyotufikisha hapa, kamsaidie Rais wetu hatuhitaji kumuona akiwa na stress

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Msukuma, amemtaka Mbunge mwenzake, Deo Ndejembi, ambaye ametoka Bungeni baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM kuwa Makamu wa Rais, kutorudia mambo aliyodai kuwa yaliwafikisha katika hali iliyopo sasa, badala yake kutumia nafasi yake kumsaidia Rais...
  11. figganigga

    Samia Suluhu Hassan kajikaanga kwa mafuta yake

    Salaam Watanzania. Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa. Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto. Kageuka kituko kila mtu anamshangaa. Na Watanzania msitegemee kuna kitu chochote kitafamyika kwa mika 4 iliyobakiza ya...
  12. Troll JF

    As it Stands Tundu Lissu aombe MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni...
  13. Waufukweni

    Rais Samia: Vijana msikubali kuharibu amani ya nchi yenu, muwakatae wasiolitakia mema taifa

    Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika Tamasha la Kizimkazi kwenye Uwanja wa Mwehe Makunduchi, Zanzibar . Amesisitiza kuwa shughuli za...
  14. Tlaatlaah

    Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  15. S

    Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa Tsh Bilioni 1.8 kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais Samia Suluhu Hassan

    Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8. Wachimbaji hao wamenunua picha inayowaonesha Pomboo (Dolphin) wakiwa ndani ya maji Kizimkazi. Katika hafla ya usiku wa sanaa...
  16. Waufukweni

    PostGE2025 Rais Samia: Wazanzibar wote tulishikana katika Uchaguzi, ndio maana ikapandisha ushindi hadi 97%

    Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya Wazanzibari wote. "Nataka niwaambie ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu kwa Zanzibar, Wazanzibari wote...
  17. Dr Adam Francis

    Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

    Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga. Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary. Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na...
  18. PAYE

    Mabala: Tuendelee kumlinda Rais Samia, kiongozi akikiuka misingi ya CCM apelekwe Kamati ya Maadili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa, akizungumza na mabalozi na makada mbalimbali wa CCM mkoani humo, amesema Katiba Mpya haiwezi kupatikana kwa malalamiko yasiyo na tija, kwani suala hilo tayari limeainishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM chini ya uongozi...
  19. Leonce jr

    Rais Samia Suluhu Hassan ajengewe sanamu katika majiji yote nchini Tanzania

    Wanabodi. Tumsifu Yesu Kristo. Asalama leko. Kama kichwa cha habari hapo juu Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt Samia Suluhu Hassani. Mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini akiongoza raia million 60. Rais ambaye ambaye ameleta philosophy 4r. Mwenye misimamo ya...
  20. K

    Rais Samia: Misaada na mikopo tuliyoizoea inaendelea kuondoka, tukaze buti

    Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na...
Back
Top Bottom