samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    Samia Suluhu Hassan tafadhali jitokezehadharani ufanye mkutano sehemu ya wazi tukuone ana kwa ana

    Nina jambo langu kuhusu sakata la Humphrey Polepole . Tafadhali sana usipuuze wito huu.
  2. instinct desire

    Kama CHADEMA walilipwa ruzuku zote bil. 2.7 na Lissu akalipwa madai yake yote na Mh. Rais Dr. SSH na bado wamehujumu uchumi wetu hivi hawa ni wenzetu?

    Mara baada ya Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani aliwalipa chadema kiasi cha bil. 2.7 ambazo ni malimbikizo ya ruzuku ambazo before walikuwa wamezira, Pia akalipa mamillion ya kiinua mgongo na Hela za matibabu alizokuwa anadai Tundu Lissu lakini chaajabu CHADEMA wamekuwa...
  3. The Palm Beach

    Baada ya kushindwa kuonekana hata kwenye arobaini ya mumewe, chawa wake waposti picha kumuonesha Samia eti akimpokea balozi wa Kuwait!

    Hizi picha utazikuta kwenye page za Instagram, X, TikTok na social media zingine za chawa maarufu wa Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda na CCM anayeitwa Maulid Kitenge.. Swali la kujiuliza: Hivi inawezekana vipi mwanamke huyu kujitwalia madaraka ya Urais kwa mtutu wa bunduki atoe...
  4. Mmawia

    Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

    Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki. Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu. Soma Humphrey Polepole...
  5. Zack Abdul

    Rais Samia kuwa kinara wa afya ya Mama na mtoto Afrika ni heshima kwa Tanzania

    Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
  6. Zack Abdul

    Mbunge wa Ghana afurahishwa na uongozi wa Rais Samia

    Mheshimiwa, Helen Adjoa Ntoso, Mbunge wa Ghana na Mwenyekiti wa Kamati ya Jinsia, Watoto na Ustawi wa Jamii katika Bunge la nchi hiyo, amepongeza nafasi ya mwanamke katika uongozi wa Tanzania kupitia Rais Samia Suluhu Hassan. Amesisitiza umuhimu wa Rais kufanya vizuri katika utekelezaji wa...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  8. Zack Abdul

    Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  9. Boss la DP World

    Nampa pole ndugu Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na rafiki yake Kipenzi Wicknell Chivayo

    Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito. Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole. Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana. Ingawa binafsi nimepokea...
  10. peno hasegawa

    President Samia Suluhu Hassan is “overrated,”

    Leadership should not be measured only by economic statistics, infrastructure projects or political popularity. It should also be measured by respect for constitutional rights, peaceful political competition, freedom of expression, accountability of security institutions and the ability of...
  11. Waufukweni

    Makonda: Rais Samia anahitaji sana maombi. Kanisa halina sifa, na halipaswi kunyoosha kidole

    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla. Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la...
  12. Zack Abdul

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiahidi anatekeleza. 🇹🇿🔥

  13. The Palm Beach

    UNGA-New York: Samia Suluhu Hassan utakwenda? Basi, get prepared maana utakutana na haya.........

    Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York.. Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Umoja wa Taifa - UNGA huko New York..? Atakutana na zahama hii na CNN, BBC, SkyNews, Al...
  14. Boss la DP World

    Samia Suluhu Hassan ukitoka Eda uje na majibu haya.

    1. Yuko wapi Humphrey Polepole? 2. Nani aliyetoa amri ya kuua raia october 29 na kuendelea? 3. Iko wapi miili ya waliouawa october 29 na kuendelea? 4. Unajisikiaje kuwepo hapo ulipo kwa hali hii? Baada ya maswali hayo, nakupa pole kwa kufiwa na mumeo, hakika KIFO NI KIFO TU.
  15. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu awasili Roma, italia kumwakilisha Rais Samia suluhu Hassan

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika Septemba 21–23, 2026...
  16. C0000-5068-428-1

    Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  17. Zack Abdul

    Dkt. Samia Suluhu Hassan aibadili Tanga kiuwekezaji.

    ■Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani ■Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
  18. Waufukweni

    Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

    Wakuu Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko...
  19. Boss la DP World

    Nataka kwenda kumpa pole Samia Suluhu Hassan. Naanzia wapi?

    Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan. Je, utaratibu ukoje? By. Boss la Bandari zote za Tanganyika.
  20. Zack Abdul

    UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Back
Top Bottom