samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Troll JF

    Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi mwamba kabisa DK. Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2029 tutakua na Katiba mpya.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, inayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Lengo la Tume hiyo ni kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba...
  2. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu azindua kitambulisho cha taifa kilichoboreshwa

    ▪ Serikali yawekeza zaidi ya Sh. bilioni 30 katika kadi na mashine za uzalishaji ▪ Asisitiza wananchi kupata vitambulisho bila usumbufu ▪ Vitambulisho vya awali vinaendelea kutumika WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua kitambulisho cha Taifa...
  3. C

    Rais Samia kufanya ziara ya kitaifa nchini Uganda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo anaondoka nchini kuelekea Uganda kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku mbili, kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Akiwa nchini Uganda, Rais Dkt. Samia anatarajiwa kufanya mazungumzo rasmi na mwenyeji...
  4. Troll JF

    Rais Samia Suluhu Hassan kufanya Ziara ya Siku 3 jijini Arusha

    Arusha hii si ya kukosa Kipenzi cha Waranzania Rais Samia Kufanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Mkoani Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Arusha kuanzia Novemba 19 hadi 21, 2026. Akizungumza...
  5. Troll JF

    Aliyekua Makamu wa Rais Dk Philip Mpango ateuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, imewataja wateule wafuatao: Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu)...
  6. Troll JF

    Rais Samia afanya kikao na Vyama vya Siasa Ikulu Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Baraza la Vyama vya Siasa katika kikao kilichofanyika leo, Novemba 16, 2026, Ikulu Jijini Dar es salaam. Kikao hicho kimewakutanisha Rais Samia na viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini.
  7. kilio

    Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  8. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚...
  9. Zack Abdul

    Mwaka wa fursa kwa Vijana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hataki utani vijana mshindwe wenyewe,Fursa kibao,Haya changamkieni na Mwisho wa maombi 18/11

  10. Pakome

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
  11. C

    Rais Samia kuhudhuria mkutano wa COP31 nchini Uturuki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuondoka nchini leo, Novemba 10, 2026, kuelekea jijini Antalya, Uturuki, kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). Kwa mujibu wa taarifa...
  12. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  13. D

    Rais Samia ni kama Lamine Yamal pale Barcelona

    WANAFIKI na wenye husda Wanamchukia na kumkaba kwa Nia ya kumuumiza kabisa lakini mama anawapiga vyenga na matobo ya hatari mpaka Kuna wakati wanagongana wenyewe. Lamine Yamal anafanya hivyo hivyo pale Barcelona WANAFIKI na wenye husda wanapambana kuhakikisha hapatani na yeyote. Mama anawalamba...
  14. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  15. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  16. Jemima Mrembo

    Je Mama Samia Suluhu Hassan alivaa nguo za zambarau tarehe 29/10/2026 kuwaombolezea na kuwaenzi waliopoteza maisha?

    Hajatoa salamu za rambirambi wala pole kwa waliofariki, waliopoteza wapendwa wao na wale wote walioathirika na madhila ya vurugu na mauaji ya wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi. Lakini siku hiyo iliyotanda wingu zito la kumbukumbu za maombolezo, alionekana akiwa kwenye vazi la rangi ya...
  17. H

    Kanisa la Waadventista Wasabato lamshukuru Rais Samia kwa msamaha wa kodi

    𝗞𝗔𝗡𝗜𝗦𝗔 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗔𝗗𝗩𝗘𝗡𝗧𝗜𝗦𝗧𝗔 𝗪𝗔𝗦𝗔𝗕𝗔𝗧𝗢 𝗟𝗔𝗠𝗦𝗛𝗨𝗞𝗨𝗥𝗨 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗔𝗠𝗔𝗛𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗢𝗗𝗜 Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
  18. Zack Abdul

    DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  19. instinct desire

    Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

    1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki. Wote tunaona vile wavunjaji wa Sheria wanavyoshughulikiwa kwa ustadi mkubwa huku wakiacha somo kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria (Rule of Law) 2. Uongozi ni mipango maana yake ni...
  20. Troll JF

    Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
Back
Top Bottom